DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Kwahiyo umekubali kujaa hahaaa Yes wewe ni Takataka sababu unaandika takatakaTakataka mwenyewe! Shwaini kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo umekubali kujaa hahaaa Yes wewe ni Takataka sababu unaandika takatakaTakataka mwenyewe! Shwaini kabisa
Ephen mambo adjeeTakataka mwenyewe! Shwaini kabisa
Kesho asubuhi mkuu namaliziaEphen mambo adjee
Ushaeka ep nyingn
Achana na watu wenye negative energy wasikuambukize ujinga wao
Kivipi ephen wakati hatufanani hata I'd names au mawazo yanafanana ?Kesho asubuhi mkuu namalizia
Nakufananisha na Intelligent businessman
Ndio na uandishimawazo yanafanana ?
Umetumwa kuchokoza mada ili uone reactions za wadau ama nini, kwanini unaita shule ya serikali uchafu, au umetumwa uje uchokonoe mada na wanaotamani eneo Hilo?Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpeni muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za private za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
Vp kuhusu usalama wa watoto wadogo?? Yale mazingira gani ya shule watoto wanachangamana na wababa watu wazima wanaenda kupata lunch pale. Wakibakwa je (Sexual Harassment)??
Kwa zile movements za Magari binafsi kwanza ni hatari hata kwa usalama wa wanafunzi wa Darasa la kwanza..
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
Aseeh pengine Ila ni watu wawili tofaut... MadamNdio na uandishi
nime fanyaje tena??Kesho asubuhi mkuu namalizia
Nakufananisha na Intelligent businessman
Vp kuhusu usalama wa watoto wadogo?? Yale mazingira gani ya shule watoto wanachangamana na wababa watu wazima wanaenda kupata lunch pale. Wakibakwa je (Sexual Harassment)??
Kwa zile movements za Magari kwanza ni hatari hata kwa usalama wa wanafunzi wa Darasa la kwanza..
ephen_ hii Mara ya ngapi una nifananisha??.Kesho asubuhi mkuu namalizia
Nakufananisha na Intelligent businessman
Sema wengine Wana adabu, Kuna kamoja kali niamkia nika kaachia siti.Kuna siku wamemsukuma mmama wawatu akaja kuniangukia, wana fujo sana. Wakianza kuimba ndio balaa tupu.
Wafanyie kazi maoni yangu kwani mimi ni mwana CCM?? Au mimi ni mtoto wa Samia/JK/JPM??Serikali ni hao hao unaotarajia wafanyie kazi maoni yako.
Poa mkuu..Achana na huyo chawa atakusumbua sana mkuu. Hawezi kukupa jibu katu. Majitu ya CCM ndivyo yalivyo.
Hakika mkuu..Sana. Afu wengi wao ni watoto; akili zao bado nyembamba.
Okay..Ndiyo ni ya serikali. Ni moja ya shule kongwe hapa nchini
Okay 👍Labda alimaanisha Mtendeni
Vp kuhusu rush hours asubuhi na jioni kwa usalama wa watoto na private cars??Restaurant sio kwa ajili ya watoto ni watu wa nje wengi wakiwa ni wanafunz wa IFM...... wafanyakazi baadhi wa ofisi za posta!!
wanafunz pia canteen Kuna Sheria za kuingia pale ko siwezi ku judge directly najua maake nimekuwa mteja wa restaurant iliyopo ndani ya shule ya msingi bunge,