Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
Wewe kama huna mtoto anaesoma hapo, wapo wazazi wengine wana watoto wanasoma hapo. Unadhani wataiona hiyo shule ni uchafu?Wewe ungekuwa na adabu, usingeandika comment ya hovyo kama ile..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama huna mtoto anaesoma hapo, wapo wazazi wengine wana watoto wanasoma hapo. Unadhani wataiona hiyo shule ni uchafu?Wewe ungekuwa na adabu, usingeandika comment ya hovyo kama ile..
Je, hii ni salama kwa watoto wadogo?? Walifanyiwa sexual harassment na lunch goers??..Pale bunge primary Kuna canteen Ina serve msosi kwa bei poa kabisa! Restaurant gani mjini hapo upate wali kwa 2k au 2.5k ?
Siku watoto wao walifanyiwa sexual harassment na wale wanaoenda kupata lunch au wakigongwa na private cars zinazojazana during rush hours ndio watajua uchafu wa ile shule..Wewe kama huna mtoto anaesoma hapo, wapo wazazi wengine wana watoto wanasoma hapo. Unadhani wataiona hiyo shule ni uchafu?
KUWA NA ADABU..Jibu kwa hoja, dada anahusika nini hapo?
Badala ya kufunga shule, Ilo linafaa kushughulikiwa maana ni suala la kinidhamu.Siku watoto wao walifanyiwa sexual harassment na wale wanaoenda kupata lunch au wakigongwa na private cars zinazojazana during rush hours ndio watajua uchafu wa ile shule..
Watoto wadogo inabidi walindwe popote walipo. Sasa sielewi shule kuwa Posta kunahusiana vp na usalama wa watoto Mkuu.Hata kama ni shule 10 zinatakiwa kuondolewa, acha ziondoke tu for so long as hazina vigezo vya kitaaluma na kimazingira.
Kuhusu usalama wa watoto wadogo umegoma kabisa kunipa jibu..
Kwani serikali ni nini?? Hao waliopo huko wanaoingia kwa michongo ya rushwa??..Watoto wadogo inabidi walindwe popote walipo. Sasa sielewi shule kuwa Posta kunahusiana vp na usalama wa watoto Mkuu.
Kwa mtazamo wako unaona ni sawa kuzivunja kwakuwa huna uchungu na kodi. Yaani serikali iliyozijenga inapitwa maarifa na wewe Mkuu?
Serikali ni hao hao unaotarajia wafanyie kazi maoni yako.Kwani serikali ni nini?? Hao waliopo huko wanaoingia kwa michongo ya rushwa??..
Kuna siku wamemsukuma mmama wawatu akaja kuniangukia, wana fujo sana. Wakianza kuimba ndio balaa tupu.na zile tai zao ni hasara mno🤣😂
Achana na huyo chawa atakusumbua sana mkuu. Hawezi kukupa jibu katu. Majitu ya CCM ndivyo yalivyo.Hata kama ni shule 10 zinatakiwa kuondolewa, acha ziondoke tu for so long as hazina vigezo vya kitaaluma na kimazingira.
Kuhusu usalama wa watoto wadogo umegoma kabisa kunipa jibu..
Du! Wanaimba nyimbo gani mkuu?Kuna siku wamemsukuma mmama wawatu akaja kuniangukia, wana fujo sana. Wakianza kuimba ndio balaa tupu.
Sana. Afu wengi wao ni watoto; akili zao bado nyembamba.Wengi walio comment katika mada hii ni watu wa hovyo sana mkuu. Trust me..
Ndiyo ni ya serikali. Ni moja ya shule kongwe hapa nchiniNi ya serikali pia??..
Hao wababa wangekuwa wabakaji wangekuwa wameshakubaka kitambo sana nduguYale mazingira gani ya shule watoto wanachangamana na wababa watu wazima wanaenda kupata lunch pale. Wakibakwa je??..
Wanaimba wapi?Kuna siku wamemsukuma mmama wawatu akaja kuniangukia, wana fujo sana. Wakianza kuimba ndio balaa tupu.
Labda alimaanisha MtendeniMkuu, Kisutu kuna Primary School pale??
Takataka mwenyewe! Shwaini kabisaUnajua kitaalamu shule inafaa iwe katika mazingira Gani kijiographia na mazingira ya kijamii (social sorounding)? Kama hujui basi na wewe ni takataka Pro
Wale watoto ni kiboko. Wakitaka kukatiza barabara hawangalii pembeni. Yaani hata kwenye njia ya mwendo kasi hawajali. Inabidi basi lisemame kuwapisha.Kuna siku wamemsukuma mmama wawatu akaja kuniangukia, wana fujo sana. Wakianza kuimba ndio balaa tupu.
Restaurant sio kwa ajili ya watoto ni watu wa nje wengi wakiwa ni wanafunz wa IFM...... wafanyakazi baadhi wa ofisi za posta!!Je, hii ni salama kwa watoto wadogo?? Walifanyiwa sexual harassment na lunch goers??..