S ndo hapo mkuu tumesoma shule Za kubeba mbolea unaenda nayo shuleni sijawah. Kupadharau
Nimesoma hii thread nikabaki kushangaa! Hawa vijana wa siku hizi mbona wana mawazo ya hovyo sana? Yaani mtu akipata ahueni ya maisha anaona wengine ni takataka na hawastahili kuwepo sehemu fulani. Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.