Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Wewe umejenga shule gani🤔ukute hapo unatumia wifi ya chooni! Kwa boss wako
Toa solution, weka proposal kwamba kifanyike ABCD
 
Kuna watu wanafanya kazi kwa hao wahindi wanaishi mitaa hiyo kama hujui
Ni nani anayefanya kazi kwa mhindi mwenye uwezo wa kumudu gharama za maisha ya Posta?? Kwa mshahara wa 300,000/= kwa mwezi unaweza ukaishi Posta??..
 
Kwa hapo sijui kinachowafanya wapelekwe bunge ni nn ?

Maybe unajua wazazi wetu wana tendency wakisikia kitu fulani juu ya mtoto wanaamini hivyo hivyo

So labda ule umaarufu tuu wa bunge primary basi sioni Cha ajabu Mr simao...
Ni ile tu shule ipo Katikati ya ofisi za serikali pamoja na Mita kadhaa kutoka ukuta wa Ikulu, basi wazazi wanapagawa sana, plus kiingereza uchwara cha ada nafuu..
 
Wewe umejenga shule gani🤔ukute hapo unatumia wifi ya chooni! Kwa boss wako
Toa solution, weka proposal kwamba kifanyike ABCD
Shule imepakana na Central Bank ila chamber za maji taka zinatema balaa. Kwani huko kwenu Goba na Mbezi Luis hakuna shule??..
 
Ni ile tu shule ipo Katikati ya ofisi za serikali pamoja na Mita kadhaa kutoka ukuta wa Ikulu, basi wazazi wanapagawa sana, plus kiingereza uchwara cha ada nafuu..
Sijui kwa sasa. Ila enzi hizo Bunge, Upanga, Muhimbili na Olympio, zilikuwa shule nzuri (hasa kitaaluma) japokuwa ni za serikali.
Ilipelekea mpaka watu kutoka mbali na katikati ya mji kupeleka watoto wao hapo.
 
Ndugu hizo ni huduma za kijamii za msingi saaana. Pengine zinatakiwa kuwepo Kila kata.
Ile shule inatumiwa na wafanyakazi wa ofisi za pale posta. At least basi iwe private school, itakuwa na mazingira masafi, ila government school kama kawaida yao..
 
Sijui kwa sasa. Ila enzi hizo Bunge, Upanga, Muhimbili na Olympio, zilikuwa shule nzuri (hasa kitaaluma) japokuwa ni za serikali.
Ilipelekea mpaka watu kutoka mbali na katikati ya mji kupeleka watoto wao hapo.
Upanga na Muhimbili, at least, kuna watu wanaishi huko, lakini sio Central Business District kama Posta..
 
Hata Olympio (Diamond) na Upanga Primary ni hivyo hivyo.

Mtoa mada ilibidi ajiulize kwanza ni kwanini hao wazazi wanafanya hivyo.
Jibu ni rahisi sana. Wanafuata English Medium School ya bei nafuu..
 
Kuna majumba kibao ya National Housing na wanakaa waswahili. Sasa sijui wapeleke watoto wapi.
Lile eneo ni potential mnoo wee jamaa wewe, na hizo nyumba za NHC wanaokaa humo ni wahindi na sio waswahili..
 
Bila shaka wewe huwezi kuamini kuwa kuna familia Mbagala au Tandale wana budget kubwa ya matumizi kuliko familia inayoishi Mikocheni
Nimeuliza Posta CBD na sio mikocheni..
 
Upanga na Muhimbili, at least, kuna watu wanaishi huko, lakini sio Central Business District kama Posta..
Nina ndugu na washkaji wamesoma Bunge, wanaishi opposite na ilipokuwa makao makuu ya Tanesco.

Watu wanakaa City centre Mkuu.
Kuna watu wameishi jengo la kitega uchumi na tumesoma nao hizi hizi shule za serikali zilizopo mjini humu.
 
Sijui akili za watanzania ziko je? kutothamini elimu nakuona uwekezaji wa bar Hotel ni muhimu kuliko elimu, kuna watu wenye kipato duni wengi katikati ya mji, walinzi sekuritari mama tilie omba omba machinga wote wanahitaji shule kama hiyo, wewe unafikiri ulivo jenga Kimara au Mbezi kila mtu kaweza?
Nimesoma hii thread nikabaki kushangaa! Hawa vijana wa siku hizi mbona wana mawazo ya hovyo sana? Yaani mtu akipata ahueni ya maisha anaona wengine ni takataka na hawastahili kuwepo sehemu fulani. Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.
 
Ni nani anayeweza kumudu kukaa Posta na familia yake atakayeshindwa kupeleka mtoto private school??

Kesho na kesho kutwa wataanza kufungua magenge ya nyanya Posta kwa kigezo cha "wakazi wa posta wa low income"

Hii vita unaitaka na Diwani wa Upanga Mashariki Mh Sultan Salim utaiweza?
 
Back
Top Bottom