Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Umetumwa kuchokoza mada ili uone reactions za wadau ama nini, kwanini unaita shule ya serikali uchafu, au umetumwa uje uchokonoe mada na wanaotamani eneo Hilo?
Kwa hiyo shule isiitwe uchafu kwa sababu ni ya serikali?? Ile Bunge ni shule safi ile??..
 
Kwamba Tanzania nzima shule iliyo kwenye mzunguko wa watu ni bunge tu???
Nyingine zimetengwa na wababa watu wazima?? 😁😁😁
Shule nyingine ni porini hakuna magari
Tatizo lako unakaa umasaini ndani ndani sana hivyo mauyajui masuala ya Daslama mjini..
 
Vp kuhusu usalama wa watoto wadogo?? Yale mazingira gani ya shule watoto wanachangamana na wababa watu wazima wanaenda kupata lunch pale. Wakibakwa je (Sexual Harassment)??

Kwa zile movements za Magari kwanza ni hatari hata kwa usalama wa wanafunzi wa Darasa la kwanza..
Naona umebadili gia angani baada ya kupigwa spana kali na wakereketwa 🤣🤣🤣
 
Vp kuhusu rush hours asubuhi na jioni kwa usalama wa watoto na private cars??

For so long as kuna movement ya watu wazima na watoto katika compounds za shule kwa kisingizio cha lunch, kuna risks kubwa sana ya sexual harassment pale..
Inaweza kutokea sikatai lkn sio sababu ya kuhamisha shule mahala pale...

Maake kungekuwa na matukio hayo tungekuwa tushapata kujua!
 
Kwahiyo unasubiri mpaka yatokee na sio kuchukua tahadhari mapema??..
Mr simao ishu ya ubakaji inaweza kutokea kutokana na mazingira ya pale lkn sio sababu ya kufunga shule kisa ubakaji au watu wachache

Mazingira yaboreshwe na kuwe na uangalizi pale shuleni hasa mida ya mchana

Uzuri bungee vyoo vipo ndani ya madarasa yao..... Wakati wa lunch wengi wanakuwa madarasani labda jioni napo wanaobaki ni class seven ambalo linakuwa chini ya uangalizi
 
Traffic accidents during rush hours (asubuhi na jioni) na wakati wa mapumziko??..
 
Unajizima data mkuu?? Au sio??..
Hpna umesema traffic accident unamaanish ajali au wakati wanaweza pata upenyo wa kuwabaka

Nakataa kwa sababu nimekuwa around bunge napajua vzr sana asubuhii gari zikileta wanafunz zinaondoka tupu labda wakati wa kupakia asubuhii mapema au jion wale wa mwisho mwisho ambao case km hizi ni nyingi kwa shule nyingi na sio bunge pekee Mr simao
 
Wale watoto ni kiboko. Wakitaka kukatiza barabara hawangalii pembeni. Yaani hata kwenye njia ya mwendo kasi hawajali. Inabidi basi lisemame kuwapisha.
Akili zao wanazijua wenyewe huwa vitendo vyao vinanishangaza sana.
 
Back
Top Bottom