Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.

Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?

Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?

Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.

Hata kama ni shule, basi mpenzi muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)

SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
Sijui akili za watanzania ziko je? kutothamini elimu nakuona uwekezaji wa bar Hotel ni muhimu kuliko elimu, kuna watu wenye kipato duni wengi katikati ya mji, walinzi sekuritari mama tilie omba omba machinga wote wanahitaji shule kama hiyo, wewe unafikiri ulivo jenga Kimara au Mbezi kila mtu kaweza?
 
Sijui akili za watanzania ziko kutothamini elimu nakuona uwezaji wa bar Hotel ni muhimu kjliko elimu, luna watu wenye kipato duni wengi katikati ya mji, walinzi sekuritari mama tolie omba omba wote wanahitaji shule kama hiyo, wewe unafikiri ulivo jenga Kimara au Mbezi kila mtu kaweza?
Mlinzi na mama Lishe gani anayekaa prime area kama city center mkuu??..
 
Kuita watoto/shule uchafu ni kudhihiri jinsi akili Yako fupi pia imeoza.

Kwanza siku hata uwekezaji umepungua city center

Serikali imehamia dodoma majengo mengine ya serikali yatabaki empty.

Wapeleke investment humo.

Ile shule pia ya mchepuo wa kiingereza kama English medium zingine
 
Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.

Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?

Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?

Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.

Hata kama ni shule, basi mpenzi muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)

SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
IFM nao ni uchafu mwingine, inabidi itolewe.
 
Back
Top Bottom