maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Mtendeni Primary...Tunaokaa posta watoto wetu wakasome wapi jamani 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtendeni Primary...Tunaokaa posta watoto wetu wakasome wapi jamani 🙂
YesNi ya serikali pia??..
Okay. Sawa mkuu..
Kwa kifupi Shule kama Kisutu,Japo sio wengi kivile lakini Kuna watoto pale wa ocean road, Ohio,mitaa ya st Joseph n.k
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..,💪🏿Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpenzi muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
Hata pale freemason, kwani Yale matransfoma ya kazi gani katikati ya mji!?SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..,💪🏿
Mtendeni primary, maktaba primary au upangaMkuu, Kisutu kuna Primary School pale??
Kuna mtendeniMkuu, Kisutu kuna Primary School pale??
Batanzani BatanzaniEti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpenzi muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
IST -International school of Tanganyika.Tunaokaa posta watoto wetu wakasome wapi jamani 🙂
Ingekuwa ni rahisi kusoma nje ya mji badala ya pale as they will be moving against traffic in the morning and afternoonKuna watu wanakaa Posta Ilala CBD.
Ingawa wanafunzi wengi wa binge wanatoka mbali.
Umemaliza kila kitu mkuu. Bravo..Kwa kifupi Shule kama Kisutu,
Olympic etc hazitakiwi kbs maeneo yale, yale ni maeneo potential kwa ajili ya investments. Naamini taasisi ambazo zinaweza wekeza hapo bado zinaweza jenga hayo mashul3 maeneo mengine tengefu yenye hali bora na mazingira ya kusomea kuliko maeneo hayo ambayo watoto ni kama hawapati haki zao za msingi za mazingira bora ya kujifunza!
Kwani huko Kigambonino hakuna shule mkuu??Ila mnanifurahisha sana hao wanafunzi wa bunge wanaozagaa sii Hawa wanaotokea Kigamboni? au Kuna wengine
Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpenzi muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
Bunge ni English medium primary ya serikali wamebadili sasa ..sema serikali nayo inazingua sana pale ni pakuweka uwekezaji mwingineEti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.