Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Sijui akili za watanzania ziko je? kutothamini elimu nakuona uwekezaji wa bar Hotel ni muhimu kuliko elimu, kuna watu wenye kipato duni wengi katikati ya mji, walinzi sekuritari mama tilie omba omba machinga wote wanahitaji shule kama hiyo, wewe unafikiri ulivo jenga Kimara au Mbezi kila mtu kaweza?
 
Mlinzi na mama Lishe gani anayekaa prime area kama city center mkuu??..
 
Kuita watoto/shule uchafu ni kudhihiri jinsi akili Yako fupi pia imeoza.

Kwanza siku hata uwekezaji umepungua city center

Serikali imehamia dodoma majengo mengine ya serikali yatabaki empty.

Wapeleke investment humo.

Ile shule pia ya mchepuo wa kiingereza kama English medium zingine
 
IFM nao ni uchafu mwingine, inabidi itolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…