Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Japo sio wengi kivile lakini Kuna watoto pale wa ocean road, Ohio,mitaa ya st Joseph n.k
Kwa kifupi Shule kama Kisutu,
Olympic etc hazitakiwi kbs maeneo yale, yale ni maeneo potential kwa ajili ya investments. Naamini taasisi ambazo zinaweza wekeza hapo bado zinaweza jenga hayo mashule maeneo mengine tengefu yenye hali bora na mazingira ya kusomea kuliko maeneo hayo ambayo watoto ni kama hawapati haki zao za msingi za mazingira bora ya kujifunza!
 
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..,πŸ’ͺ🏿
 
Kuna watu wanakaa Posta Ilala CBD.
Ingawa wanafunzi wengi wa binge wanatoka mbali.
 
Ila mnanifurahisha sana hao wanafunzi wa bunge wanaozagaa sii Hawa wanaotokea Kigamboni? au Kuna wengine

Maake wengine naona Dala Dala zinawaleta mpk shule kabisa hapo!!

Pale bunge primary Kuna canteen Ina serve msosi kwa bei poa kabisa! Restaurant gani mjini hapo upate wali kwa 2k au 2.5k ?

so far..... watoto wale bado wadg management yao ngumu !!

Mbona mtendeni primary sioni wakiwa na tatizo au Hawa wanaosoma karibu na IFM ilipokuwa wizara ya Afya ? Ama shule ya st Joseph pale st Joseph cathedral? Hujui hata km Kuna shule maeneo hayo

Bunge ni shule ya kila mmoja so watoto wale kuwa control kazi ........ Huoni kwenye panton tuu jau sembuse huko shuleni na njian!

Nyie mnaosema IFM itoke hapo endeleeni kuota hivyo hivyo pamoja na DIT, CBE, kupisha uwekezaji daah maeneo yamekosekana ?
 
Batanzani Batanzani

Mukuu Makufuli mulimkataa kwa sababu amesema muende kusafisha maeneo yenu. Mkamuita Dictator.
Imbecile

=====
Utakufa ku stress.
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Bravo..
 

Unaweza kuwa na hoja nzuri ila uwasilishaji wako umekuwa uchafu katika maada hii


Shule ya bunge sio uchafu
 
Bunge ni English medium primary ya serikali wamebadili sasa ..sema serikali nayo inazingua sana pale ni pakuweka uwekezaji mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…