Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #41
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.
Paskali.
Mkuu JakiDubai, kuna watu wanaandika jf ili waungwe mkono?, utaniunga mkono ili iweje?.Ukiacha kutetea DP world tutakuunga mkono
Anyway karibu, hili ni moja ya mabandiko yangu kuunga mkono IGA ya DPW na Bandari zetu,
Karibu
P