Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili jambo?.
Paskali.