Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kila malipo inabidi yawe na kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatufanya mapoyoyo siyo? Mhe.Jerry Slaa ambaye ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano yeye mwenyewe kashauri Wabunge wakatwe kodi. Ina maana Mhe. Jerry hajui kama anakatwa kodi kwenye mshahara wake? Mbona Bunge mnajidhalilisha hivi?Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .
Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.
Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.
Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
YesHawa wanatumia ujanja wa kujificha kwenye mujibu wa sheria
Hela zote wanazopata kwa mwezi ni karibu 12milion.
Hapo iliyoandikwa mshahara ni milion 3 tu
Zingine zote wanaziita posho ili zikwepe kodi.
Milion 9 yote posho tu
Barua anazozipingaga msemaji mkuu wa serikali huwa zinafanana sana na anazoziandikaga yeye..!!! Katika historia ya bunge letu, kuna barua ipo kama hii?? Haina sahii, haina muhuri etcTaarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .
Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.
Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.
Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Taxable income huwa ni kwenye basic kiongozi.. Gross ina allowances ambazo kwa wafanyakazi wa uma, huwa hawakatwi kodi kwenye allowancess..!!!Wapuuzi sana ,sisi tunataka Gross yote(12m+) ilimwe kodi na si Basic Salary.(3m)
Ndugai aweke hapa payslip yake pamoja na marupurupu yote anayopata tuone kama analipa kodiTaarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .
Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.
Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.
Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Posho 300%,hapo bado sitting allowances na marupurupu mengine+rushwa/takrima.Hawa ni zaidi ya mchwa na panya ghalani.Hawa wanatumia ujanja wa kujificha kwenye mujibu wa sheria
Hela zote wanazopata kwa mwezi ni karibu 12milion.
Hapo iliyoandikwa mshahara ni milion 3 tu
Zingine zote wanaziita posho ili zikwepe kodi.
Milion 9 yote posho tu
Msitufanye wananchi wajinga. Tunajua sehemu kubwa ya mshahara wa wabunge imegeuzwa kuitwa posho kusudi wasilipe kodi. Hiyo milioni tatu na ushee wanayolipia kodi ni kuzuga tu. Wabunge watu wanajua wanalipwa milioni 12 na ushee.Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .
Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.
Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.
Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Walete nakala ya hati ya malipo tuione.Bunge acheni uongo onesheni hizo kodi wanazokata na siyo maneno mingi mingi .......
TULICHOSEMA NI KWAMBA WABUNGE HAWAKATWI NSSF/PSSSF .NI VIPI WANALIPWA MAFAO AMBAYO HAWAKUWAHI KUKATWA PALE WANAPOMALIZA UBUNGE WAO....NDUGAI ACHA UTAPELI JIBU HILI. HILI LA PAYEE UMELITENGENEZA WEWE...WANANCHI PUUZENI BARUA HIITaarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .
Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.
Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.
Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Lipeni kodi Acha kuihujumu nchiTaarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .
Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.
Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.
Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Taxable income huwa ni kwenye basic kiongozi.. Gross ina allowances ambazo kwa wafanyakazi wa uma, huwa hawakatwi kodi kwenye allowancess..!!!
By the way, siyo unavyotaka wewe, bali inavyosema sheria..
Mkuu avha uongo- per diem kodi?Si kweli ,mimi nimefanya kazi kampuni binasfi ,chochote unachopata kinalimwa kodi ,iwe house allowance ,transport or Over time au Per Diem zote zinalimwa kodi.
Kwanini sheria ibague wafanyakzi wa umma na binafsi? Mbona Binafsi wanakatwa kodi kwenye allowances?
Nimekwambia wafanyakazi wa uma, siyo sekta binafsi..!!Si kweli ,mimi nimefanya kazi kampuni binasfi ,chochote unachopata kinalimwa kodi ,iwe house allowance ,transport or Over time au Per Diem zote zinalimwa kodi.
Kwanini sheria ibague wafanyakzi wa umma na binafsi? Mbona Binafsi wanakatwa kodi kwenye allowances?
Mkuu avha uongo- per diem kodi?
Au hizo posho zipunguzwe ziende kwenye maendeleoWabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara kama kawaida, hilo ni kweli.
Shida iko kwenye posho, wabunge wameweka mshahara mdogo wa 3m halafu wameweka posho nyingi karibu 9m ambazo hazikatwi kodi.
Lengo hasa la kuweka posho ama marupurupu mengine mengi ni kukwepa kodi. Posho halikatwi kodi.
Tunachotaka ni hizo posho zote ziingie kwenye mshahara ili ukatwe kodi.