Bunge: Wabunge wanakatwa kodi zote stahiki ikiwemo 'PAYE''

Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.

Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.

Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Mnatufanya mapoyoyo siyo? Mhe.Jerry Slaa ambaye ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano yeye mwenyewe kashauri Wabunge wakatwe kodi. Ina maana Mhe. Jerry hajui kama anakatwa kodi kwenye mshahara wake? Mbona Bunge mnajidhalilisha hivi?
 
Yaani baadhi ya wabunge wenyewe wanasema wakatwe kodi kwenye mishahara yao. Ina maana wabunge hawajui kama wanakatwa kodi au la? Hii nchi ngumu sana kumwelewa hasa mwanasiasa.

Rejea kauli ya mbunge Jerry Silaa kwamba wabunge wanatakiwa nao wakatwe kodi.
 
Hawa wanatumia ujanja wa kujificha kwenye mujibu wa sheria

Hela zote wanazopata kwa mwezi ni karibu 12milion.

Hapo iliyoandikwa mshahara ni milion 3 tu

Zingine zote wanaziita posho ili zikwepe kodi.

Milion 9 yote posho tu
Yes
Na posho haikatwi Kodi
 
Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.

Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.

Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Barua anazozipingaga msemaji mkuu wa serikali huwa zinafanana sana na anazoziandikaga yeye..!!! Katika historia ya bunge letu, kuna barua ipo kama hii?? Haina sahii, haina muhuri etc
 
Wapuuzi sana ,sisi tunataka Gross yote(12m+) ilimwe kodi na si Basic Salary.(3m)
Taxable income huwa ni kwenye basic kiongozi.. Gross ina allowances ambazo kwa wafanyakazi wa uma, huwa hawakatwi kodi kwenye allowancess..!!!

By the way, siyo unavyotaka wewe, bali inavyosema sheria..
 
Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.

Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.

Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Ndugai aweke hapa payslip yake pamoja na marupurupu yote anayopata tuone kama analipa kodi
 
Hawa wanatumia ujanja wa kujificha kwenye mujibu wa sheria

Hela zote wanazopata kwa mwezi ni karibu 12milion.

Hapo iliyoandikwa mshahara ni milion 3 tu

Zingine zote wanaziita posho ili zikwepe kodi.

Milion 9 yote posho tu
Posho 300%,hapo bado sitting allowances na marupurupu mengine+rushwa/takrima.Hawa ni zaidi ya mchwa na panya ghalani.
Dawa ya kutibu hii Cancer ni Katiba pekee.
 
Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.

Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.

Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Msitufanye wananchi wajinga. Tunajua sehemu kubwa ya mshahara wa wabunge imegeuzwa kuitwa posho kusudi wasilipe kodi. Hiyo milioni tatu na ushee wanayolipia kodi ni kuzuga tu. Wabunge watu wanajua wanalipwa milioni 12 na ushee.

Ingekua haki sehemu kubwa iwe mshahara ili walipe kodi sahihi. Katika posho za mbunge kuna hadi mishahara ya dereva wake na msaidizi wake. Je huyo dereva na msaidizi kodi yao inalipwa vipi kama mbunge anachukua hayo malipo kama posho.

Yafaa tuwe serious. Sio wabunge kutunga sheria za kodi halafu wao wanajilipa posho badala ya mshahara kuepa kodi.
 
Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.

Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.

Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
TULICHOSEMA NI KWAMBA WABUNGE HAWAKATWI NSSF/PSSSF .NI VIPI WANALIPWA MAFAO AMBAYO HAWAKUWAHI KUKATWA PALE WANAPOMALIZA UBUNGE WAO....NDUGAI ACHA UTAPELI JIBU HILI. HILI LA PAYEE UMELITENGENEZA WEWE...WANANCHI PUUZENI BARUA HII
 
Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi .

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (PAYE) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa Sheria.

Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa zinazodai Wabunge hawalipi Kodi kwenye Mishahara kusambaa Mitandaoni.

Zaidi, soma: Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu
Lipeni kodi Acha kuihujumu nchi
 
Taxable income huwa ni kwenye basic kiongozi.. Gross ina allowances ambazo kwa wafanyakazi wa uma, huwa hawakatwi kodi kwenye allowancess..!!!

By the way, siyo unavyotaka wewe, bali inavyosema sheria..

Si kweli ,mimi nimefanya kazi kampuni binasfi ,chochote unachopata kinalimwa kodi ,iwe house allowance ,transport or Over time au Per Diem zote zinalimwa kodi.

Kwanini sheria ibague wafanyakzi wa umma na binafsi? Mbona Binafsi wanakatwa kodi kwenye allowances?
 
Mkuu avha uongo- per diem kodi?
 
Si kweli ,mimi nimefanya kazi kampuni binasfi ,chochote unachopata kinalimwa kodi ,iwe house allowance ,transport or Over time au Per Diem zote zinalimwa kodi.

Kwanini sheria ibague wafanyakzi wa umma na binafsi? Mbona Binafsi wanakatwa kodi kwenye allowances?
Nimekwambia wafanyakazi wa uma, siyo sekta binafsi..!!
 
Naona wananchi taratiiibu wanaanza kushituka. Uwongo, ulaghai, uhuni, utapeli, wizi, ulafi, na maujinga ujinga yote ya hawa wahuni ipo siku tutayakataa mazima.
 
Wabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara kama kawaida, hilo ni kweli.

Shida iko kwenye posho, wabunge wameweka mshahara mdogo wa 3m halafu wameweka posho nyingi karibu 9m ambazo hazikatwi kodi.

Lengo hasa la kuweka posho ama marupurupu mengine mengi ni kukwepa kodi. Posho halikatwi kodi.

Tunachotaka ni hizo posho zote ziingie kwenye mshahara ili ukatwe kodi.
Au hizo posho zipunguzwe ziende kwenye maendeleo
 
Back
Top Bottom