Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Rashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Imeandikwa ''Usimjaribu Bwana Mungu wako''

Sawa na aliyeambiwa jitupe katika mawe Mungu atatuma malaika wakuokoe
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Gwaji boy!! [emoji91][emoji91][emoji91] Katika ubora wake! Watajuta kumfahamu. Jumapili ijayo, kama kawaida! Ni vijembe tu kwa kwenda mbele.
Atasema walimtegea sumu bungeni ili wamuue akaistukia na waumini watasema AAAAMEEEEN...!
 
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.

JamiiForums2011088224.jpg
 
Huyu si mzima kiakili ila anafanya vizuri kuonyesha namna dhuluma waliyowafanyia wananchi wa Kawe inavyoanza kuwarudia kupitia huu msukule wa kisiasa. Ila asicheze na mama. Ataumia muda si mrefu.
 
Mtu aliyetuambia KORONA haitoingia Tanzania kwa kuwa yeye ni wa mbinguni.....

Mtu aliyesema ATAMFUFUA yule mh.mbunge wa kike.......

Mtu aliyesema kuwa hawezi kugombea ubunge.......

DRAMA KING......
 
Matatizo yatamwandama taratibu.
Mwishoni na kanisa lake lita pigwa marufuku.
Swala la imani linalindwa na katiba.....
kusema wafute kanisa sidhani....
Gwajiboy watadeal nae kivingine..
CCM huwa hawashindwagi jambo wakiamua
 
Mmemchelewesha wenyewe sasa anawaumbueni na kuwashtukia katika Mitego katika Viti na Mic. Hapa System mmeumbuka!!

Askofu Gwajima kajuaje haya ni hadithi ile ile kuwa ndani yenu Watu wa System wapo Watendaji wabaya wanaovujisha Mipango yenu.

System ya sasa ninaamini ina matatizo.
Gwajima kauruka mtego ulio muondoa Horrace Kolimba na Seith Chachage
 
Swala la imani linalindwa na katiba.....
kusema wafute kanisa sidhani....
Gwajiboy watadeal nae kivingine..
CCM huwa hawashindwagi jambo wakiamua
Vikanisa vya mitaani kama vya Gwajima rahisi kuvifutilia mbali.
Vikanisa hivi ni mitambo ya uchochezi tu na mipasho.
Mungu hahubiriwi pale.
 
Mmemchelewesha wenyewe sasa anawaumbueni na kuwashtukia katika Mitego katika Viti na Mic. Hapa System mmeumbuka!!

Askofu Gwajima kajuaje haya ni hadithi ile ile kuwa ndani yenu Watu wa System wapo Watendaji wabaya wanaovujisha Mipango yenu.

System ya sasa ninaamini ina matatizo.
Gwajima Msengxxxe. Hakuna usaliti bali ujinga na kutafuta sifa kipuuzi na kishamba kama anavyofanya Gwajiboy mjalaana na tapeli mkubwa
 
Back
Top Bottom