Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Imeandikwa ''Usimjaribu Bwana Mungu wako''Rashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Sawa na aliyeambiwa jitupe katika mawe Mungu atatuma malaika wakuokoe