Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Pamoja na kutaka CCM imfukuze huyu kada mwenzangu....

Ila....mh.Gwajima ni balaaa....full comedy ha ha ha ha daaah 🤣🤣🤣

#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#SiempreJMT
#KaziIendelee
total psychopath
 
Yaani ukiangalia hivyo viti karibia vyote vinafanana kasoro hicho kiti anachoambiwa gwajima akitumie, swali kwanini kile kiwe tofauti? sasa watu wa ccm wana sarakasi sana, na uzuri gwajima naye anazijua vizuri kuzicheza hizo sarakasi, sisi wengine ni watizamaji tu.
 
Yaani ukiangalia hivyo viti karibia vyote vinafanana kasoro hicho kiti anachoambiwa gwajima akitumie, swali kwanini kile kiwe tofauti? sasa watu wa ccm wana sarakasi sana, na uzuri gwajima naye anazijua vizuri kuzicheza hizo sarakasi, sisi wengine ni watizamaji tu.
Ni mjinga pekee ndiye anaye weza kumini unacho kiwaza
 
Personally namuelewa sana Askofu....Gwajima ni mtu smart sana kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa ujumbe anaotoa...He knows something...
Mungu amlinde pamoja na mapungufu yake....ila ipo siku ukweli utakuwa wazi
Nin anajuwa hmn kitu
 
Wewe ndo unajigamba unajua Neno kumbe hewa.
Anayoyatamka Gwajima ni Neno limesema hivyo,ila kwa vile unaleta ujuaji wa kijiweni unaona anajivuna.

Kwani hujasoma kila silaha itakayofanyoka juu yako haitafanikiwa?
Au mtego walioutengeneza utawanasa wenyewe?
Gwajima kakosea Nini?

Hujui Eliya aliyeomba Moto ukashuka ukateketeza maaskari ndo yuleyule alikimbia kujificha kumkwepa Yezebeli?
Hajui kuna wakati wa kuokota mawe na wakati wa kurusha mawe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wana bahati zao, huyu angekua kiongozi wa dini ya wenzetu angekua analetwa na msafara wa magari na ving'ora ya sio pungua 10 askari wagetapaka kila kona......."all animals are equal but some animals are more equal than others" animal farm.
Mwenzako ngwajima ndiyo anatamani hivyo ange uza sura na kuzidi kuonekana jasiri
 
Wataanza na kufunga kanisa hapo watakuwa wamemmaliza
Mtikila Aliishia alipoishia
Huyu ni drama king wa haja
Endeleeni kumlea
Huyu anatembea na legacy ya magufuli hata wakifunga kanisa bure tu tena atatumia nafasi yake ya ubunge na wakimfuta ccm tunaanzisha chama Magufuli and Nyerere legacy part
MNLP
 
Huyu ni mgonjwa wa akili si bure
Ungeitwa ww mbele ya hiyo kamati pamoja na uzima wako wa akili ungekufa siku tu ya kupokea wito.

Halafu wew ni kitoto cha miaka ya 2000 kisichojua historia ya nchi kwenye matukio km haya. Na nini kiliwahi kutokea. Unahisi kwa uchanga wako kwamba Gwajima hajui anafanya nini. Polee sana.
 
Back
Top Bottom