Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Acha udini, Mbowe ni imam wa msikiti ganiAngekuwa ni muislamu angeshakuwa ndani siku nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha udini, Mbowe ni imam wa msikiti ganiAngekuwa ni muislamu angeshakuwa ndani siku nyingi
Shehe Ponda si SAwa,musiba ni sawaAcha udini, Mbowe ni imam wa msikiti gani
= na #Shehe Ponda si SAwa,musiba ni sawa
umeona ehh, iko siku atawachoma waamini wakeHuyu ni mgonjwa wa akili si bure
total psychopathPamoja na kutaka CCM imfukuze huyu kada mwenzangu....
Ila....mh.Gwajima ni balaaa....full comedy ha ha ha ha daaah 🤣🤣🤣
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#SiempreJMT
#KaziIendelee
🤣🤣total psychopath
Hana akili huyu ni mgonjwa wa akili tu.Mtamheshimu tu!. Mtukaneni kwa sasa.
Ni mjinga pekee ndiye anaye weza kumini unacho kiwazaYaani ukiangalia hivyo viti karibia vyote vinafanana kasoro hicho kiti anachoambiwa gwajima akitumie, swali kwanini kile kiwe tofauti? sasa watu wa ccm wana sarakasi sana, na uzuri gwajima naye anazijua vizuri kuzicheza hizo sarakasi, sisi wengine ni watizamaji tu.
Nin anajuwa hmn kituPersonally namuelewa sana Askofu....Gwajima ni mtu smart sana kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa ujumbe anaotoa...He knows something...
Mungu amlinde pamoja na mapungufu yake....ila ipo siku ukweli utakuwa wazi
Hajui kuna wakati wa kuokota mawe na wakati wa kurusha mawe.Wewe ndo unajigamba unajua Neno kumbe hewa.
Anayoyatamka Gwajima ni Neno limesema hivyo,ila kwa vile unaleta ujuaji wa kijiweni unaona anajivuna.
Kwani hujasoma kila silaha itakayofanyoka juu yako haitafanikiwa?
Au mtego walioutengeneza utawanasa wenyewe?
Gwajima kakosea Nini?
Hujui Eliya aliyeomba Moto ukashuka ukateketeza maaskari ndo yuleyule alikimbia kujificha kumkwepa Yezebeli?
Mwenzako ngwajima ndiyo anatamani hivyo ange uza sura na kuzidi kuonekana jasiriKuna watu wana bahati zao, huyu angekua kiongozi wa dini ya wenzetu angekua analetwa na msafara wa magari na ving'ora ya sio pungua 10 askari wagetapaka kila kona......."all animals are equal but some animals are more equal than others" animal farm.
Huyu anatembea na legacy ya magufuli hata wakifunga kanisa bure tu tena atatumia nafasi yake ya ubunge na wakimfuta ccm tunaanzisha chama Magufuli and Nyerere legacy partWataanza na kufunga kanisa hapo watakuwa wamemmaliza
Mtikila Aliishia alipoishia
Huyu ni drama king wa haja
Endeleeni kumlea
Kuna mahali wanafika wanajuta kwanini walimpa ubunge. Ila sijui kuna hadisi gani huko tunakokwenda tuombe rehema za Mungu sana.Huyu Ngosha ananifurahisha.
Ungeitwa ww mbele ya hiyo kamati pamoja na uzima wako wa akili ungekufa siku tu ya kupokea wito.Huyu ni mgonjwa wa akili si bure
Hata wembe unaua mkuu. Sijui namna yenu ya kuwaza linapokuja swala la kiulinzi na usalama. Naona umepewa na like.Haogopi Corona lakini anaogopa kiti
Basi waliomwita ni wagonjwa zaidi yake. So wagonjwa wa akili wamekutana kikaoni.Mgonjwa wa akili huyo, maneno na matendo yake linadhihirisha hilo