The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ule mtindo wa CCM... Kunyamazidha watu.Wa
Wamenusa akiingia BUNGE LIJALO HALIYA HEWA ITACHAFUKA WAMUWAHI HAHAHA
J&J SON
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule mtindo wa CCM... Kunyamazidha watu.Wa
Wamenusa akiingia BUNGE LIJALO HALIYA HEWA ITACHAFUKA WAMUWAHI HAHAHA
J&J SON
Ule msemo wa Waarabu wa Pemba.....!!Kibwetere haogopi corona ila anaogopa kiti.
Omba Mungu Utopolo iwe na mafanikio uwanjani otherwise hutampost Tena .Tena utakuja hapa kumtukana.
Umeshachanja we na familia yako? Au unaleta porojo humu.Watu wamelazimishia chanjo kuwa suala la kiimani wakati ni dawa tu kama dawa zingine.
“Ooh tunatumia bila research”. Kwani madawa mengine mnayotumia kuanzia hilo lindui begani, research mlifanyia wapi kabla ya kudungwa?!
Ni dawa hii tu mnawalazimisha wahitaji wasichanjwe bali wasali tu..
Mbona mkikamatwa na malaria na ma-Uti mnagonga dawa na sala pamoja?!
Jamani, Mungu kampa binadamu maarifa ayatumie na ndio maana ya “Nendeni mkaitawale Dunia “.....
Ndiomzitumie hizo mbhinu SasaHuyo jamaaa n hamnazo tu, kwahyo kiti cha Bungeni na maiki atataka abadilishiwe kila siku aingiapo bungeni?? Km la kuuliwa kuna mbinu nyingi za kumalizwa tofaut na hayo mazingaombwe yake anayofanya.
Wamuue ili iweje sasa!Hamjui historia ya matukio km haya tangu Kolimba kuuawa kwa sumu ya maiki, ya Mwakyembe, Mangula, Mwamunyange, Magu nk.
Ukitaka kujua madhara ya kiti muulize mwakyembeHaogopi Corona lakini anaogopa kiti
Hizi sasa bangiBaada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Nimechanja mimi na familia yangu, wale wanaoruhusiwa kwa mujibu wa mwongozo. Mwanzoni tu.Umeshachanja we na familia yako? Au unaleta porojo humu.
Tena taulo tuMwakyembe kilimkuta nini!?
Haya ni matokeo ya unyama,wizi na dhuluma ya uchaguzi 2020.Wenye akili tunajua.Halafu et ccm hadi Samia wanasema walishinda kwa kishindo,kishindo! Muogope mungu wewe mamaKila ubaya utawarudia wanaopanga ubaya
Ana shida upstair, hilo liko wazi kabisa mkuuHukijui ulichokiandika
Vichaa ndio huona watu wenye akili kuwa ni wagonjwa. Kama una akili timamu onyesha reasonability and si utupu!.Hana akili huyu ni mgonjwa wa akili tu.
Akileta kiburi atapewa ugaidBaada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
View attachment 1907812
View attachment 1907814
Faili lake pale Mirembe lihakikiweMgonjwa huyu.
Hahaha anepunguza maumivu ya tozoHuyu Ngosha ananifurahisha.