Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

Watu wamelazimishia chanjo kuwa suala la kiimani wakati ni dawa tu kama dawa zingine.
“Ooh tunatumia bila research”. Kwani madawa mengine mnayotumia kuanzia hilo lindui begani, research mlifanyia wapi kabla ya kudungwa?!
Ni dawa hii tu mnawalazimisha wahitaji wasichanjwe bali wasali tu..
Mbona mkikamatwa na malaria na ma-Uti mnagonga dawa na sala pamoja?!
Jamani, Mungu kampa binadamu maarifa ayatumie na ndio maana ya “Nendeni mkaitawale Dunia “.....
 
Umeshachanja we na familia yako? Au unaleta porojo humu.
 
Huyo jamaaa n hamnazo tu, kwahyo kiti cha Bungeni na maiki atataka abadilishiwe kila siku aingiapo bungeni?? Km la kuuliwa kuna mbinu nyingi za kumalizwa tofaut na hayo mazingaombwe yake anayofanya.
 
KUNAVITU VYA KUJIULIZA MJUE HAKAOSEAGI ASK
1?AMEGOMA KUKALIA KITI
LEO
2.KWANINI ALIKUBALI KUBADILISHIWA AKAKAA KIKAO CHA KWANZA LEO VYOTE VINA NINI
3 KUNA NN VYAKUJADILIA MOAKA KUCHUKUA SIKU ZOTE HI,ZI
4 UMEJIULIZA KWANINI ALIGOMEA ILE.MIKE KIKAO CHA KWANZA
LEO KASEMA HII HAINA SHIDA KABISA IKO SAWAHAITAJI KUBADILISHIWA.. UNAHISI ILIVALISHWA BARAKOA AKAIAMINI??
MV IENDELEEEEEEEE
#HOPEWAMEMALIZAMAJADILIANO ELSE KIJACHO TUSICHANGAE HATA AKAGOMEA MIKE KABISA AMA ASIFIKE KABISA AKARESIGN...
 
Mzigumu
Huyo jamaaa n hamnazo tu, kwahyo kiti cha Bungeni na maiki atataka abadilishiwe kila siku aingiapo bungeni?? Km la kuuliwa kuna mbinu nyingi za kumalizwa tofaut na hayo mazingaombwe yake anayofanya.
Ndiomzitumie hizo mbhinu Sasa
Yeyekaonaaa hizi sio
 
Kila ubaya utawarudia wanaopanga ubaya
Haya ni matokeo ya unyama,wizi na dhuluma ya uchaguzi 2020.Wenye akili tunajua.Halafu et ccm hadi Samia wanasema walishinda kwa kishindo,kishindo! Muogope mungu wewe mama
 
Back
Top Bottom