Maona huu msumari umekuchoma haswa kwenye kidonda kilicho bado kupona naada ya kuona kwa macho yako mbuyu ukiangushwa na kaupepoMtajiju hasa wewe Katulia umesahau taaluma yako unang'ang'ania upumbavu.
Ndugai na Bashiru wamechangia bunge letu kuwa mahala pasipo na la kujifunzaRais Samia amelisifu bunge la Kenya!
Covid sasa hivi wanajiandaa kurudi makwao baada ya kumsikia mama Salma akilisifia bunge la kenyaHata Covid 19 Walikoswa cha kumuuliza Waziri?
Lakwetu JohnBunge la Kenya?
C C M.CCM NI CHANZO CHA MATATIZO
Wakuambiwa wachinje Ndugaye anataka kurusha ngumi.CCM wamezoea vya kunyonga
Nyumbu wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.Rubber stamp parliament.
Mwendazake anastahili viboko million moja kila siku
Wanaongozwa na uoga wakati hiyo ni haki yao.Hapo ni aibu kubwa sn
Hakuna mwenye uthubutu wa kuhoji maana wao wanacholilia ni kujaza matumbo yao.Wameshindwa hata Kumuuliza Progress ya lile Igizo lake Pale Gerezani kwenye Kituo cha Mwendo kasi limeishia wapi. SMH
Wale ni wabunge wa ccm piaHata Covid 19 Walikoswa cha kumuuliza Waziri?
Zina hesabika Mkuu......Hata Covid 19 Walikoswa cha kumuuliza Waziri?