Mm nilisoma ada Mia 430 then ijapnda cjui. 1500 baadae nikajiunga na private school na a level pia nikasoma kwa 375000 kwa mwaka kweli mzee alikuwa anapambna San na mm nikampata mtot wangu wa Kwanza ada nikaaza 30000 kwa mwezi baadae 120000 kuanza std one ada 1200000 kwa mwaka .jmn kusomesha c mchezo jmn
Nafikiri serekali iache huu utaratibu wa bure ili watu wawe seriuos waache kuchangishana kwenye sherehe za kipaimara na cummunial
Waachangie kwa lzm ada Kam 20000 kwa mwaka. Na sec ikawe 100000 kwa mwaka watu wachape Kaz waachane na ulevi na ubure bure .na kufanya hvyo tutacontrol birth rate
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.