Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

Hilo bunge lilishapoteza uhalali kwa sasa.
Si chombo cha kuwakilisha wananchi bali ni chombo cha watawala kuwanyonya watz.
Makala anasema kuwa wana mapesa mengi ya uchaguzi .

Rushwa nje nje .
Acheni watumie pesa halafu no Election.
 
Hili siyo Bunge ni bunge!!!!!!!!!! NI AIBU KUBWA KWA TAIFA.
 
Back
Top Bottom