Mambo ya mtu binafsi hapo. Uwaziri hupewa mtu sio mashine
Alimchangia kujenga hiyo nyumba? AMPE YA KWAKE.Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae.
Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani.
Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae.
Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani.
Na iwe hivyo ili sababu thabiti ipatikane ya mtifuano.Rais ana mamlaka ya ku revoke hati ya Nyumba ya mtu yeyote kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nyumba ya huyo mbunge itaifishwe igeuzwe makazi ya Askari ‘Line police’ iwe fundisho kwake na wahuni wenzie huyo Mama
Kuna siku ataibuka kufukuza Waislam au Wakristo kwenye Nyumba anayopangisha au mwenye Basi pa abiria atawashusha Abiria kwa kuwa tu ni Wachaga au Wasukuma
Unafikiri ni kilaza kiasi hicho? Unajua mkataba wao ulikuwaje? Mdanganye aone cha moto na hutamsaidia ubao ukimgeukia.Mkataba wa kupangisha ndivyo unavyosema? huyo polisi atafute wakili amdai fidia ya mabilioni chap chap.After all ni mbunge Ana mipesa mingi aweza kulipa
Kangi hana jipya ni kuropoka tu,ukimfukuza mtu kwako ni kosaTatizo ni Chadema na ingekuwa kinyume chake angesifiwa.
Labda ndege tausi
Hizi pesa wanazolipwa wabunge rais angeweza kuzitumia kufanya mambo ya maana kama kununua mandege.
Mawakili kesi ya bure hiyo hapo undeni jopo la mawakili nguli mumburuze huyo mwakagenda mahakamani mdai fidia mabilioni .Akilipa mtakata hela zenu za uwakili humo.Msaidieni huyo polisi bure bill hata kumdai shilingi ili huyo.mama ashikishwe adabu ajue kuwa na nyumba sio issue ya kumfanyia mpangaji utakacho
kwani mimi nimesema kitu ?Mambo ya mtu binafsi hapo. Uwaziri hupewa mtu sio mashine
Nawewe?Wabunge wetu mnakula kodi zetu bure.
Hicho tu ndicho anaweza kukitenda ila matumizi ya akili kwenye serious issues hakuna.
kingine akiwezacho hiki hapaHicho tu ndicho anaweza kukitenda ila matumizi ya akili kwenye serious issues hakuna.
Si siku nyingi,? Mtachuma bangi deny nyie na huyo rabied dog wenuRais ana mamlaka ya ku revoke hati ya Nyumba ya mtu yeyote kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nyumba ya huyo mbunge itaifishwe igeuzwe makazi ya Askari ‘Line police’ iwe fundisho kwake na wahuni wenzie huyo Mama
Kuna siku ataibuka kufukuza Waislam au Wakristo kwenye Nyumba anayopangisha au mwenye Basi pa abiria atawashusha Abiria kwa kuwa tu ni Wachaga au Wasukuma
Unaongea pumba PohambaRais ana mamlaka ya ku revoke hati ya Nyumba ya mtu yeyote kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.