Bungeni: Mbunge wa CHADEMA amtimua mpangaji wake ambaye ni Askari Polisi, adai haoni maana ya kushirikiana nae, Waziri Lugola amtisha

14100256_1829190217367202_2229032021751147702_n.jpg
 
Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae.

Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani.

Alimchangia kujenga hiyo nyumba? AMPE YA KWAKE.
 
Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae.

Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani.

Kangi Lugola ni kilaza beyong repair!

Hajui kinga ya Kibunge ya Wabunge!

Stupid CCM people have nothing smart to say!
 
Rais ana mamlaka ya ku revoke hati ya Nyumba ya mtu yeyote kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nyumba ya huyo mbunge itaifishwe igeuzwe makazi ya Askari ‘Line police’ iwe fundisho kwake na wahuni wenzie huyo Mama

Kuna siku ataibuka kufukuza Waislam au Wakristo kwenye Nyumba anayopangisha au mwenye Basi pa abiria atawashusha Abiria kwa kuwa tu ni Wachaga au Wasukuma
Na iwe hivyo ili sababu thabiti ipatikane ya mtifuano.
 
Mkataba wa kupangisha ndivyo unavyosema? huyo polisi atafute wakili amdai fidia ya mabilioni chap chap.After all ni mbunge Ana mipesa mingi aweza kulipa
Unafikiri ni kilaza kiasi hicho? Unajua mkataba wao ulikuwaje? Mdanganye aone cha moto na hutamsaidia ubao ukimgeukia.
 
Halafu mbowe hii ndoo hazina aliyonayo kwenye chama
 
Nenda ww
Mawakili kesi ya bure hiyo hapo undeni jopo la mawakili nguli mumburuze huyo mwakagenda mahakamani mdai fidia mabilioni .Akilipa mtakata hela zenu za uwakili humo.Msaidieni huyo polisi bure bill hata kumdai shilingi ili huyo.mama ashikishwe adabu ajue kuwa na nyumba sio issue ya kumfanyia mpangaji utakacho
 
Rais ana mamlaka ya ku revoke hati ya Nyumba ya mtu yeyote kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nyumba ya huyo mbunge itaifishwe igeuzwe makazi ya Askari ‘Line police’ iwe fundisho kwake na wahuni wenzie huyo Mama

Kuna siku ataibuka kufukuza Waislam au Wakristo kwenye Nyumba anayopangisha au mwenye Basi pa abiria atawashusha Abiria kwa kuwa tu ni Wachaga au Wasukuma
Si siku nyingi,? Mtachuma bangi deny nyie na huyo rabied dog wenu
 
Sasa huyo mpuuzi akipata shida atakimbilia wapi?nahisi hazijui tabia za polisi wetu..naamini watalipa kisasi kwa mwenzao kudhalilishwa.
 
Rais ana mamlaka ya ku revoke hati ya Nyumba ya mtu yeyote kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nyumba ya huyo mbunge itaifishwe igeuzwe makazi ya Askari ‘Line police’ iwe fundisho kwake na wahuni wenzie huyo Mama

Kuna siku ataibuka kufukuza Waislam au Wakristo kwenye Nyumba anayopangisha au mwenye Basi pa abiria atawashusha Abiria kwa kuwa tu ni Wachaga au Wasukuma
Unaongea pumba Pohamba
 
Back
Top Bottom