Wapambane ili bei ishuke mpaka 2300 ili tuone wanaopandisha bei bila sababu watasingizia Nini?
 
Mama anaupiga mwingi. Tusipokuwa makini nchi za nje wanaweza kumkodi awape maendeleo ya watu
 
Mkuu Paskali, ni mapema mno kufanya conclusion kwamba Dr. Tulia ni spika makini, kwa hili tu suala la Bunge kujadili suala la bei ya mafuta, kitu ambacho ni uamuzi ambao ni routine na common sense. Hata huyu Bora Spika angefanya hivyo hivyo na isingemfutia u-Bora Spika wake.

Wanasayansi wanasema, ili uweze kutengeneza trendline, unahitaji angalau point tatu. Tangu awe Spika, unaweza kutuambia ni mambo gani angalau matatu Dr. Tulia amefanya yatakayotuonyehsa yeye ni Spika makini?

Only time will tell kama kweli Dr. Tulia ni Spika makini au trend ni ileile aliyokuwa nayo chini ya Raisi Magufuli ya kutaka kumfurahisha Raisi
 
wewe uteuzi unakusumbua, hakuna lolote amefanya zaid ya kuwapiga beat waheshimiwa wabunge kutomtaja raisi.
 
Kwa niijuavyo nchi yangu,kigua itakua alipewa maelekezo kuleta hoja hiyo,hoja ikiwa haitakiwi na anayesimamiwa na binge,haiwezi pata nafasi 'hiyo' bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…