Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Mastory kibao blah blah sijui nitakutana na mawaziri wa nigeria, oman sijui blah blah upuuzi mtupuJanuary analeta story ambazo kila mtu anazifahamu bafala ya kuleta pointi za msingi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mastory kibao blah blah sijui nitakutana na mawaziri wa nigeria, oman sijui blah blah upuuzi mtupuJanuary analeta story ambazo kila mtu anazifahamu bafala ya kuleta pointi za msingi!!!
Tatizo Bunge ni kibogoyo!Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali
Keep Watching Bunge Live
na Kazi iendelee!.
Paskali.
Lusinde ni product ya Chadema, Chadema ndio wamemtrain mpaka akawa na courage ya kujiamini ingawa hata majengo ya secondary school hakanyaga.
Spika ni kama vile mtangazi wa mpira tu.Ni ukichaa kuamini kuwa Tanzania ina Bunge kwa sasa.
View attachment 2212297
3,148 - 792 = 2,356Bungeni: Mjadala wa dharula kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei
Mm huyo Sinaga Mda nae. Misifa KibaoMastory kibao blah blah sijui nitakutana na mawaziri wa nigeria, oman sijui blah blah upuuzi mtupu
Itapunguza wanunuzi wa vifurushi vya TV, hivyo kuumiza multiplex ie Azam,Dstv,StarTimesNahisi kodi ya tv license iko njiani kama mapato mapya.
Bei mpya ya mafuta Zanzibar ikoje?WAITARA
Mwita Waitara: Nchi kama Zambia, dizeli ni 2,470 lakini tunajua mizigo yao wanapitisha hapa, dizeli Tanzania imetangazwa bei ya EWURA zaidi ya Tshs 3000, wamepunguza bei ya mafuta Zanzibar na wanajaribu pia kutugawa.
Hizo tozo si mpya
Mkuu Paskali, ni mapema mno kufanya conclusion kwamba Dr. Tulia ni spika makini, kwa hili tu suala la Bunge kujadili suala la bei ya mafuta, kitu ambacho ni uamuzi ambao ni routine na common sense. Hata huyu Bora Spika angefanya hivyo hivyo na isingemfutia u-Bora Spika wake.Kwa vile Dr. Tulia alikuwa ni Naibu Spika wa Spika dhaifu, alipochaguliwa kuwa Spika, kuna watu walidhani Bunge la Tulia litakuwa ni Bunge Dhaifu kama Bunge la Ndugai.
Bunge la Dr. Tulia, sasa limeanza kuisimamia Serikali kiukweli ukweli!, leo limesimamisha shughuli zake zote kujadili hoja ya dharura ya Mhe. Omari Kigua, kujadili kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizeli.
Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali
Keep Watching Bunge Live na Kazi iendelee!.
Paskali.
😃😃😃😃😆😆😆😆Ni ukichaa kuamini kuwa Tanzania ina Bunge kwa sasa.
View attachment 2212297
wewe uteuzi unakusumbua, hakuna lolote amefanya zaid ya kuwapiga beat waheshimiwa wabunge kutomtaja raisi.Wanabodi,
Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa kuwahi kutokea, hivyo kupachikwa jina la "Bora Spika" Kwa kuanzia mimi niliisikia sauti hii Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Job Ndugai alipojiuzulu tukasema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
Kwa vile Dr. Tulia alikuwa ni Naibu Spika wa Spika dhaifu, alipochaguliwa kuwa Spika, kuna watu walidhani Bunge la Tulia litakuwa ni Bunge Dhaifu kama Bunge la Ndugai.
Nilitoa ushauri huu Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
Sasa hiki ndio kinatokea Leo,
Bunge la Dr. Tulia, sasa limeanza kuisimamia Serikali kiukweli ukweli!, leo limesimamisha shughuli zake zote kujadili hoja ya dharura ya Mhe. Omari Kigua, kujadili kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizeli.
Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali
Keep Watching Bunge Live
na Kazi iendelee!.
Paskali.
CCM inaokota wapi hawa watuNi ukichaa kuamini kuwa Tanzania ina Bunge kwa sasa.
View attachment 2212297
Ccm hoyeeee...Yaani Zambia Mafuta yapo Chini kuliko sisi Mambo mengine Mtihani tu
Michepuko MkuuCCM inaokota wapi hawa watu
Kwa niijuavyo nchi yangu,kigua itakua alipewa maelekezo kuleta hoja hiyo,hoja ikiwa haitakiwi na anayesimamiwa na binge,haiwezi pata nafasi 'hiyo' bungeniWanabodi,