BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Watanzania tunasema hivi;imepitaaaaaaaaaaaa 😛layball:
 
mkuu kitila mkumbo, huo ndio ukweli wenyewe ULIOSEMA, lakini tatizo la sisi watanzania siyo watu wa vitendo, na ukiweka na njaa hizi (tumbo) na vijana wengi kukosa ajira ndio maana wako tayari kushupalia mambo yasiyo ya maana hata kwa kuhongwa ubwabwa, fulana, elfu 7, elfu hamsini. Huku mambo ya msingi kama haya wakiyapa kisogo
CC.. LUMUMBA TEAM( TASWIRA, WINGU, REJAO, RITZ, KATIBA MPYA, SUMU, STROKE.....) LEO HAWA VIJINA WATAKUFA NJAA HAWAJAPOSTI KITU HUMU... NAONA KIKOSI KAZI KINAPANGA MASHAMBULIZI YA LWAKATALE PART 100


View attachment 90329
 
Acha lionyeshwe live ili tupate nafasi ya kuamua.
Kufichaficha kubaya sana.

Wabunge wa ccm wameamua kutukana live ili wakamilishe ile mbinu yao ya bunge kuto oneshwa live amini msiamini hiyo ni janja yao na muda c mrefu mtasikia tcra wazee wa vingambuz wametoa tamko
 
F U? hicho ni kiunganishi ambacho vigogo wengi wa CCM wanakitumia badala ya "kidumu CCM"
 
Unajua hata Mike Iron Tyson alipozidiwa kwenye zile ngumi aliamua kung'ata siko la mwenzake! Hiyo ilijionyesha ni dalili ya uoga na kushindwa!

Mfano huu ni kwa wana CCM na chama chao, hizo ni dalili za kutokua na hoja za msingi bungeni! Uoga wakujibu hoja kwa wapinzani na kilochobakia ndio mfano kama huo wa Tyson! Time will tell wapiga kura wao wanawasubiri kwa hamu sana majimboni mwao watavuna walichokipanda!
 
John Malecela aliwahi kusema 'go to hell' ikamgharimu, naye huyu SERUGAMBA ataadhibiwa hivi karibuni na Makinda aliyewaambia wananchi jana kuwa sasa hatakuwa na mzaha na utani yeyote atakayetukana atatolewa nje! Je bado Serugamba amekaa katika viti vile Juma Nkamia alivyoviita vinakaliwa na mbwa? Angejiondokea akakaa nje ambako viti vyake ni vyetu sisi raia tusiokuwa mbwa....!!!
 
Yaani wamekaa mle mjengoni kutukanana tu sisi huku tunaishi maisha ya unga unga mwana kwa sababu ya kodi kubwa ambazo ndo zinawalipa hizo posho na mishahara inayowatia viburi, mana hakuna kodi inauma ka PAYE, bado nauli zinapanda, mafuta nayo kila kukicha wenyewe wanaona matusi ndo hoja, mi hata sioni umuhimu wao ujinga mtupu
 
Nilisikia akitukana kiukweli nilishtuka na kwa jinsi ilivyopotezewa sikuamini macho yangu jaman hili bunge sijui ni ubabe umezidi au ni nini, duh my lovely Tanzania where are u goin???
 
Tena kabisa leo asubuhi namsikia Naibu spika akihojiwa na Redio One Kumepambazuka kuhusu adhabu kwa mbunge atakaye toa lugha za matusi bungeni akawa anarudiarudia kuwa atatolewa nje na polisi sasa napata shida kuamini kama huyo alikuwa mbunge au mgeni mwalikwa
 
Mungu ni Mwema daima wale wanajifunika na Mwamvuli wa wema mbele ya watu kila siku wanaumbuka Huyu ndiye Campaign Manager wa EL na waziri mkuu mtarajiwa.Ingekuwa ni Mbunge wa CDM amesema hivyo bunge lingetikisika kwa mayowe atokeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Du hao wabunge wa ccm wanahasira za nini mbona wao ni wengi ......au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…