Inategemeana na mazingira, kama unaongea point halafu mtu anakuja na pumba badala ya mchele kwa nini asimbulie tusi japo kidogo? Under similar circumstances we would just be like him..! Its only a fool who condemn, blame and complain..!
wewe unapashwa upigwe ban.....hizi ni kama shout...
Kiasi naanza kuelewa kwa nini walitaka bunge lisionyeshe.....
ukistaajabu ya Nkamia utayaona ya Serukamba ccm oyeeeeeeeeeeeee naona ndio wanaga bunge hivyo
Ha ha ha ha,nimeipenda sana hii picha.
Pic of the day.
Ikiendelea hivi kuna siku utakuta mwigulu au serukamba au lusinde kakamata shori anakula mzigo ndani ya bunge uku session ikiendelea..mama spika atasema.....endeleeni wabunge wengine tu stiki kwenye hojaSasa spika ameshindwaje kuita polisi? Au hakuelewa maana ya maneno aliyotamaka mbunge huyo aliyekosa adabu? Au tishio lake la kuita polisi alimaanisha itakuwa kwa wabunge wa upinzani tu hasa CHADEMA? kama sivyo ninawasi wasi sana kuwa spika hakuelewa maana ya maneno hayo ya kiingereza aliyoyatamaka Serukamba. Aibu kubwa!
Hii ni Mburu-la in action. Duhh hii kali.
Kasema f.a.k.y.u da!c walisema ukitukana wanaita polisi ngoja tuone ccm bana