napstericnade
New Member
- Mar 24, 2013
- 4
- 1
Mkuu usihofu, vijana wetu watatuletea iyo video ya tukio zima muda sio mrefu.Jamaa kasema Come on ! ---- You !! Naibu spika kama hajasikia sisi wasikilizaji live tumesikia angekuwa wa upinzani,wasingezuga hawajaasikia!!
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Je, mkwara wa Spika umesaidia? Au ni kwa ajili ya Chadma tu?
Sio risasi tuu,alitajwa pia kujihusisha na viungo vya albino.Ni mlamba miguu ya wakubwa huyu na mpenda sifa mkubwaHuyo ndo yule aliyepata ubunge kwa risasi kule Kigoma? Hana lolote zaidi ya kuropoka na kutukana furkin .
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
Mods naomba hilo neno liandikwe kama jinsi lilivyotamkwa na mbunge wa CCM kwa wapinzani.