Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Mie sijaangalia TBC leo, kumbe ni Ndugai tena kwenye kiti!!!!!!!! Hakuna jipya hapo.JF........!
Hiyo ni baada ya mhe.Serukamba kusimama baada ya kuomba taarifa ambapo wabunge wa upinzani wakaanza kulalamika kwa spika Ndugai kuwa amempendelea kwa kumpa nafasi mara ya 2, amabpo kukamfanya Mhe.Peter serukamba wa kigoma mjini CCM kutamka neno "---- YOU" kwa jazba.
Mkuu usihofu, vijana wetu watatuletea iyo video ya tukio zima muda sio mrefu.
Sijaamini kama nimesikia tusi hilo kutoka kwa mheshimiwa mbunge tena ndani ya bunge linalorushwa live.
Nimepata tumbo la kuharisha gafla baada ya kumuona mbunge huyu wa ccm akitumia F words bungeni.
Jamani dunia imeona ni wabunge wa chama gani wanatukana bungeni badala ya kuongea hoja???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu jigoku hakika nilishtuka nikadhani sijasikia vizuri...very loud and clearInkoskaz usimung'unye maneno,umeogopa hata kusema ulichokisikia hata kama si usahihi?Wakuu mimi nilidhani nimefananisha kusikia lakini nilichokisikia ametukana ---- YOU. Mpaka sasa siamini masikio yangu ninachojiuliza ni je wengine huko ndani hawajasikia?na alikuwa anamtukana nani?hata hivyo kama kweli watu wataamua kutenda haki naamini kuna kituo ambacho kitakuwa kimerekodi wanaweza wakafanya marejeo then watakisikia alichokitukana.nilichokiona kwa mwenendo huu muda si mrefu watachapana makonde bungeni,tena kama na waliokuwemo ndani wamesikia tusi hilo hakika kifuatacho ni ngumi bungeni.
wakuu samahani sikukusudia kuliandika tusi hilo lakini nataka nione wangapi wamesikia jinsi nilivyosikia mimi.
Je Spika alimtoa nje na polisi kama alivyosema?WanaJf,leo sa 6.30 asubuhi,kumetoka mambo ya ajabu sana ktk bunge . Kitendo cha bunge letu kuendelea kutumia lugha chafu si tu tutavumilia upuuze huu. Mh naibu spika, maana ya mh peter serukamba kutukania maneno F..uc -k--- YOU kwa wabunge wengine mbele ya kamera ya Tbc1 ndo nini jamani?tunajenga taifa la aina gani?wabunge woote kama hamtaacha upuuzi huu kwa kweli hatutavumilia sisi wananchi wenu. Rais wetu,bunge likishindikana,livunje kuanza upya si ujinga.
Mchambuzi nimekuwa very upset na hili tukio..Wabunge wa CCM wamefikia hatua hii ya kujiona wako juu ya sheria,wako juu ya watanzania? it is as if wanaongoza taifa la wajinga? Ni dharau kiasi gani hii kutumia lugha chafu kama hii bungeni? Si ni sawa na kuwa amewatukana watanzania wote? ni watu wangapi wanafuatilia hili bunge live na wamewasha television zao hata baadhi ya watoto wakiwa wanasikia ama kuona?..To me such a thing ni dharau kubwa sana na ingekuwa nchi za wenzetu mtu anaweza kuchomoka madarakani..Kiongozi anatakiwa kuwa mfano,huu ni mfano gani? angekuwa wa upinzani? am very dissapointed to have heard such words...Shame on you Peter Serukamba, from today on you are an empty headed individual..I pity on you!!
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Duuuh... hii kali. Ngoja tumuone mama wa Ahsanteeeeeee atafanya nini, maana aliahidi jana kuchukua hatua.Amesema "F U C K Y O U.......Naongea mimi"
mwisho wa kunukuu
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
you ni tusi?jf........!
Hiyo ni baada ya mhe.serukamba kusimama baada ya kuomba taarifa ambapo wabunge wa upinzani wakaanza kulalamika kwa spika ndugai kuwa amempendelea kwa kumpa nafasi mara ya 2, amabpo kukamfanya mhe.peter serukamba wa kigoma mjini ccm kutamka neno "---- you" kwa jazba.