Baba Tunde
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 369
- 115
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Huyu si ndiyo yule mbunge wa Kigoma? Basi atakuwa amewatukana waliomchagua pia.Nimeshangazwa sana na Serukamba,, amesema COME ON FU*K YOU...
Nilikuwa sijaangalia bunge 2013 na leo imetokea kwa bahati mbaya but sirudii tena kuangalia bunge. Mbaya zaidi kavaa suti na ni jana tu Spika alisema atawakamatisha polisi. Wapi tunaenda jamani mbunge mwenye zaidi ya miaka 7 bungeni kusema F*CK YOU bungeni
you ni tusi?
lahaula lakwata!!!
Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
tusi gani hilo kali? Je ametolewa nje baada ya kuchafua hali ya hewa? Au spika aliminya kama hajasikia vile?
Je Spika alimtoa nje na polisi kama alivyosema?
Huyu si ndiyo yule mbunge wa Kigoma? Basi atakuwa amewatukana waliomchagua pia.
anamaanisha faki yuuu au unaf*lwa kwa kiswahili. Ndio mbunge ametamka hivyo live and exclusive bungeni, mods msinihukumu please...