BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Jamani naombeni mwongozo wa spika kuhusu matusi bungeni!! Hawa wabunge wa chama tawala mara wengine waite wengine vitoto vya mbwa, mara fu...ck.. you!! Haki ya nani wangekuwa ni CDM hawa wangefungiwa miezi mitatu!! Double standards!!
 
Kama mtu decent kabisa akiwa Bungeni au ofisini anaweza kutamka hayo sijui inakuaje anapokua Bar au Club?

Hii ni aibu kwake kama Kiongozi,Mkwe,Mume wa mtu decent na Baba wa Familia

Bungeni hivi sasa pamekuwa ni zaidi ya bar au kijiweni.
 
dalili ya kifo huanza taratibuuu. Ndo maana kipanya leo kachora katuni ya bunge. Bunge limepoteza utukufu wake, bora hata baa wanapiga nyimbo za dini.
 
alisema "---- you!" baada ya wabunge wa chadema kumzonga kwa hoja murua

hao wabunge wetu wa CDM walikuwa na hoja gani murua? Unajua wengine hatuna luninga tunapotafutia riziki.
 
Je, Spika/ naibu spika wamemuitia Polisi? Au kwa kuwa ni gamba (CCM)?

Tunaona mengi mwaka huu; aliyeshauri bunge lisitazamwe na watoto yuko sasa maana hakuna la kujifunza



EJL













Sijaamini masikio yangu alipokuwa akiomba muongozo
Tbc tunaomba marudio ya kikao na wengine wasikie
 
Inatokea Tanzania tu hii.....!BUNGE LINAENDESHWA KWA MIAKA NANE BILA SPIKA
 
Nashauri vikao vya bunge vihifadhiwe kwenye CD halafu juu ziandikwe Blue Print au X ili watoto wetu tuwazuie kuangalia.
 
Inafurahisha kusikia maneno kama haya lakini hofu yangu ni pale nyinyi kinamama mtakapopewa kanga/vitenge na fulana za kijani siji kama mtayakumbuka hayo maneno yako.

kwa sasa tunayaweka kwenye kumbukumbu kwa matumizi ya baadae ..
 
NJAA ZETU NDIO ZIMETUFIKISHA HAPO, TULIPATA NAFASI 2010 YA KUFANYA MAGEUZI YA KWELI TUKAICHEZEA. BASI NA KWA KUWA HAO JAMAA WANATUJUA WATANZANIA KUWA TUNANJAA NA VI ELFU SABA SABA , NA KHANGA, CHUMVI, NA MAEMBE, UBWABWA, BASI SERUKAMBA ATAENDELEA KUWEPO BUNGENI KAMA KAWA 2015.


SIPATI PICHA KAMA ANGEKUWA NI MTU WA UPINZANI NDIYO KAYASEMA HAYO MANENO, NADHANI VIJANA WA LUMUMBA
CC TASWIRA, WINGU, KATIBA MPYA, MAJEBERE, SUMU, STROKE, NEPI, MULUGO, WAKUFYONZWA. et al.... REJAO NA RITZ WAMEHAMA LUMUMBA NASIKIA. HAO VIJANA WA LUMUMBA wangeshinda humu leo wangeweza kupata mgao hata wa milioni mmoja kila mmmoja kwa kuposti mara nyingi zaidi. LAKINI KWA KUWA NAWAO WANA AKILI KAMA ZA SERUKAMBA HUWEZI WAONA KATIKA UZI HUUU KAMWE.,

NAKUMBUKA LEMA (MB) NUSURA AUKOSE KABISA UBUNGE WAKE, KWANI KATIKA HATI YA MASHITAKA YA KESI YAKE ETI ALIMTUKANA MAMA BATILIDA BURIANI 2010. LAKINI LEO BUNGE LINAANGALIWA NA WATZ WASIOPUNGUA 2 MILIONI.. MBUNGE ATATUKANA NA NAIBU SIPAKA ANASEMA ASANTE.


TUJILAUMU WENYEWE KWA NJAAA ZETU. HUU NDIO MSHAHARA WAKE.
 
Huyo Ndugai na Makinda wasipochukua hatua kwa serukamba,Wananchi tuungane kuliwajibisha hili bunge,kwa kweli mm nimechoka kabisa.
 
Kama mtu decent kabisa
akiwa Bungeni au ofisini anaweza kutamka hayo sijui inakuaje anapokua
Bar au Club?

Hii ni aibu kwake kama Kiongozi,Mkwe,Mume wa mtu decent na Baba wa
Familia

Tatizo ni Naibu Spika. Kila akikalia kile kiti lazima avurunde, mbona Bi. Kiroboto huwa anakemea pale pale? Au Kutukana wapinzani inaruhusiwa na kanuni za bunge? It is more than enough
 
Makinda jiuzulu kulinda heshima yako ndogo iliyobaki.!!
 
Hao ni mdimu group...kijana wenu dk. Hamis kgwangala na nape wanaporopoka huwa hamwaskiiii heee
 
Nahisi Mh Serukamba atakuwa ametoka kusikiliza ule wimbo wa Tupac Hit em up so kwa umbumbumbu wake akajua ni neno la kawaida kutamka bungeni. Ana mdomo mchafu huyu mbunge sidhani kama ana watoto kwa kweli. Hivi watu wa Kigoma walishindwa kuona kuwa huyu jamaa hana Maadili

Mh Spika tafadhali nunueni VIROBA DITEKTA ili wabunge wanaogonga viroba kabla ya kuingia mjengoni wazuiliwe. Hapa hatuwatendei haki watoto wetu. Hivi ana dini huyu mbunge???
 
Bi kiroboto hana shida na matusi ya kingereza, kakataza matusi ya kiswahili tu ila usijali kuanzia kesho bunge litakuwa likirushwa usiku watoto wakishalala na tangazo kubwa la " UMRI CHINI YA MIAKA 18 HAWARUHUSIWI KUANGALIA BUNGE"
 
Namba ya spika bado ipo kwa watanzania?Ni vizuri kumtumia meseji ili akumbuke sentensi yake ya jana na tukio la leo.Inawezekana pia MATUSI yanaruhusiwa kwa wabunge wa CCM tu.Ni vizuri pia UPINZANI wajitahidi wasilipize kisasi kwa namna hii wabunge wa CCM watakuwa wanajivua nguo wenyewe wakija shtuka wamechelewa.

Rafiki zangu Sumu na the company leo hawatii neno.Wanasema Sema wewe KIAZI ni kisema mimi MUHOGO nitaambiwa muongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…