Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Angekuwa mpinzani angepewa adhabu kali.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.
View attachment 2237360
View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
nilienda mbulu shule ya boarding ,kwahiyo weekend nilikuwa naenda kufanya zoezi huko...huyo jamaa ni mjanja flani,kulikuwa na mzungu alikuwa anafadhili hilo kundi na walikuwa wanaenda kufanya show hadi Norway,majamaa wakirudi wanarudi na pamba kali na viatu, kazi yao ilikuwa ubaunsa kwenye disco vumbi na kufanya sarakasi kukiwa na events ,but yeye ndo kafaidi hao wengine wote hamna hata mwenye baiskeli.Huyu atakuwa mvuta ndumu mzuri. Aliibukia bungeni. Wewe sasa. Si ajabu ndo umetoka Kisongo!
Yapo Muhimu..Hilo bunge kibogoyo litajadili kitu gani muhimu?
Bunge lenyewe ni kituko. Hovyoo. Kituko cha uchafuzi mkuu 2020.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.
View attachment 2237360
View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.
View attachment 2237360
View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
Hakuna anayeliangaliaBunge lenyewe ni kituko. Hovyoo. Kituko cha uchafuzi mkuu 2020.
Jamaa huyu wa sarakasi alifanya upumbavu sana!Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.
View attachment 2237360
View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
BADALA ya kuwachukulia HATUA ETI UNAPIGA MARUFUKUSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.
View attachment 2237360
View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
Leo na ww ni wa kumkana jiwe?Kwa wabunge hawa ngosha alituweza kweri kweri
Ally namfahamu, halafu huyo Ally alikuja kujiunga na kina Flatei baada ya kumaliza darasa la 7Tulivuta naye sana ndumu kwenye 2007 wakati tunaenda kufanya mazoezi ya sarakasi kwenye kijiwe chao,alikuwa kiongozi wa hilo kundi la sarakasi ,ngoma ,judo na karate kuna vijana wake kama kina Ally na D2 walikuwa vizuri sana ila hapo ndumu ni 24hrs ,zoezi,ndumu ,ugali.
Inawezekana hapo ashaivuta kwenye toilet za bunge.
na Ally ndo mwepesi sana kuruka sarakari,ila huyo D2 ndo mshikaji aliyeanza na Flatei ,D2 hiyo nakoz zake akikugusa anaweza kukuchana.Ally namfahamu, halafu huyo Ally alikuja kujiunga na kina Flatei baada ya kumaliza darasa la 7
Kulia inaruhusiwa?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.
View attachment 2237360
View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
Fani ipo damuni huyu jamaa .huwa akipata upenyo lazma aburudishe wenziweTulivuta naye sana ndumu kwenye 2007 wakati tunaenda kufanya mazoezi ya sarakasi kwenye kijiwe chao,alikuwa kiongozi wa hilo kundi la sarakasi ,ngoma ,judo na karate kuna vijana wake kama kina Ally na D2 walikuwa vizuri sana ila hapo ndumu ni 24hrs ,zoezi,ndumu ,ugali.
Inawezekana hapo ashaivuta kwenye toilet za bunge.
Kwani walifanya vituko ili kuomba mapenzi au kuweka msisitizo kwa hoja zao kufanyiwa kazi?Ccm Hii Imeoza Sana Waliofanya Vituko Wachukuliwe Hatua Haraka