Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

Huyu atakuwa mvuta ndumu mzuri. Aliibukia bungeni. Wewe sasa. Si ajabu ndo umetoka Kisongo!
nilienda mbulu shule ya boarding ,kwahiyo weekend nilikuwa naenda kufanya zoezi huko...huyo jamaa ni mjanja flani,kulikuwa na mzungu alikuwa anafadhili hilo kundi na walikuwa wanaenda kufanya show hadi Norway,majamaa wakirudi wanarudi na pamba kali na viatu, kazi yao ilikuwa ubaunsa kwenye disco vumbi na kufanya sarakasi kukiwa na events ,but yeye ndo kafaidi hao wengine wote hamna hata mwenye baiskeli.
 
Nazani tunaona vituko kipindi cha uwasilishaji wa bajeti wizara ya ujenzi. Mpaka sasa kuna mbunge karuka sarakasi, leo mwengine kapiga magoti,mwengine kalia, unaweza ukashangaa kesho mbunge mwengine akapiga msamba.

Mpaka unawaona wabunge wanafanya vituko jua washaona mambo hayaendi kama yalivyokuwa ya kienda kipindi cha nyuma.Wengi wao mawazo yao yapo kwenye nafasi zao za ubunge 2025.Kwenye kampeni za kisiasa unaweza kuwauzia chai maeneo mengine ila si kwenye ujenzi, kwani output yake inaonekana na kushikika.

Ile wizara aliiweza Anko mwenyewe, tokea akiwa waziri wa ujenzi mpaka Rais.Kikwete mwenyewe alivyo mpelekaa wizara ya uvuvi alivyogundua mambo hayaendi akamrudisha ujenzi,sababu alijua yy mwenyewe sio mfuatiliaji alikuwa mzee wa kusafiri tuu na kwa sasa mama kasema yy sio SIMBA WA YUDA so wakandarasi wanaseleleka tu watakavyo.
 
Haya ndiyo matatizo ya mfumo wa siasa kuwapa wanasiasa nguvu sana na majukumu mazito ya kuangalia maisha ya watu milioni 60 lakini wanasiasa wenyewe hawajapikwa vizuri kumudu hayo majukumu. Kwanza huyo mbunge alivyopiga hiyo sarakasi, wabunge wengi waliangua kicheko badala ya kushtuka au kusikitika. Nchi hii ina safari ndefu sana.
 
Tulivuta naye sana ndumu kwenye 2007 wakati tunaenda kufanya mazoezi ya sarakasi kwenye kijiwe chao,alikuwa kiongozi wa hilo kundi la sarakasi ,ngoma ,judo na karate kuna vijana wake kama kina Ally na D2 walikuwa vizuri sana ila hapo ndumu ni 24hrs ,zoezi,ndumu ,ugali.

Inawezekana hapo ashaivuta kwenye toilet za bunge.
Ally namfahamu, halafu huyo Ally alikuja kujiunga na kina Flatei baada ya kumaliza darasa la 7
 
Ally namfahamu, halafu huyo Ally alikuja kujiunga na kina Flatei baada ya kumaliza darasa la 7
na Ally ndo mwepesi sana kuruka sarakari,ila huyo D2 ndo mshikaji aliyeanza na Flatei ,D2 hiyo nakoz zake akikugusa anaweza kukuchana.
 
Kugonga meza au kuomba muongozo wakati mbunge anachangia hoja mheshimiwa spika nako kuangaliwe, inakuwa kama Mayele anayepoteza muda ingebidi apewe onyo na kadi ya njano.
 
Tulivuta naye sana ndumu kwenye 2007 wakati tunaenda kufanya mazoezi ya sarakasi kwenye kijiwe chao,alikuwa kiongozi wa hilo kundi la sarakasi ,ngoma ,judo na karate kuna vijana wake kama kina Ally na D2 walikuwa vizuri sana ila hapo ndumu ni 24hrs ,zoezi,ndumu ,ugali.

Inawezekana hapo ashaivuta kwenye toilet za bunge.
Fani ipo damuni huyu jamaa .huwa akipata upenyo lazma aburudishe wenziwe

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom