dUH HAPA NAONA LUGHA INawafanya wabunge wasadc washindwe kuulizwa maswali ya msingi yaan MOHD dewji anauliza sadc kuna Nchi ngani na atajiwe..Lugha utata..Huyu MNYAA ndo kajieleza ila hakupigwa swali ...huwa nafarijika kuona bunge la kenya jinsi wabunge wanavyomwaga maneno
sipata kuona mwaume anakuwa kama wabunge wa cufuuuuuuuuuuuu
Pengo la Chadema na CUF limeongezeka zaidi, kura za leo zaonyesha kuanzia unaibu spika ni kura 46 tu chadema zimempa mtu wa chadema huku zingine zote zikielekezwa kwa CCM
Ye mwenyewe unayemuuliza kichwani yu bure usitegemee loloteMalimbukeni utawajua tu wanakua wanajiona kama hakuna kamawao,ama kweli kipofu kaona mwezi,je tungewapa nchi hawa wabinafci nawalafi wamadaraka chadema ingekuaje?kwa hakika mtanzania mwenye akilitimamu hawezi kurudia kosa lakuipa kura chadema tena,kwahakika hawafai hata kuongoza tarafa wacha taifa,kwa ubinafci huu naudiniwao naukanda naukabila wao watapotezwa kama upepo wa kusi unavopita marikebu,hawafai kabisa,eeh mungu ulie juu tuepushe na lichadema kupata ushindi wowote ktk chaguzi zataifa hili wasije wakaliingiza taifa kta vita yaudini na ukabila kwa ubinafci wao Aaaaameen!
Tunaomba ufafanuzi naona article imejaa jazba na hamaki ! tupe ubinafsi na udini wa Chadema ili tuwarekebishe tabia ikibidi tupe na FACTS kwani inatishia amani ya taifa letu
CUF haijawahi kuwa chama cha upinzani huku Tanganyika hata siku moja, upinzani wao ni Zanzibar. Hili ni fundisho kwa Tanganyika, linapokuja suala la Uzanzibari hawa jamaa huungana, upinzani ni kule kwao.
Kwa mantiki hii, chadema ndio chama cha upinzani kwa Tanganyika, hao NCCR, UDP, TLP wanajidanganya sana kuungana na CUF kuikandamiza Tanganyika.
Huu ndio wakati muafaka kwa Watanganyika wenye uchungu na nchi hii kuungana na kukipa nguvu CHADEMA kwani hiki ndicho chama cha kweli cha upinzani kwetu.
Maalim Seif hajawahi hata siku moja kuwa na nia ya kweli ya mageuzi ya nchi hii, siku zote ameweka mbele maslahi yake. Muangalieni tangu pale muafaka uliomrudishia maslahi yake ya waziri kiongozi, hajawa na nguvu tena. Prof Lipumba ni boya tu pale CUF hana nguvu yoyote, anatekeleza anachokitaka Seif na sio vinginevyo na siku zote lazima kiwe kwa maslahi yake na Zanzibar na sio Tanganyika.
Naelewa nitaambiwa adui wa Muungano, au mbaguzi, lakini huo ndio ukweli, CUF ilipoteza muelekeo siku walipomkaribisha Maalim Seif, ukitaka ukweli muulize Msabaha, huyu ni miongoni mwa waanzilishi na ndio waliomkaribisha Seif pale CUF mara baada ya kukorofishana na jamaa zake wa CCM..
CUF lazima wakubali kuwa lazima wawe chini ya CHADEMA