Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
Kaka Chadema magugu mengi, na magugu huwa yakiota mimea mizuri inakuwa hatarini. Zitto, wenje, .........
Kwani walitaka ushirikiano CHADEMA wakakataa? We vipi!!??Ni kweli maneno yako maana ndio maana hawakuwashirikisha wenzao kuunda kambi ya upinzani bungeni kwa kujiona wao ndio wapinzani peke yao, hawakuwashirikisha kwa kuwapa japo umakamu.
chadema ndio wapinzani pekee na kweli wawe waangalifu na MaCCM B wasiwaaribie.Hakuna shamba linalokosa magugu, wakati mwingine magugu yanafaida, wakati wa kiangazi Magugu hutunza unyevunyevu ardhini na kuzuia mchwa wasitafune mazao. Magugu mengine ni chakula cha mifugo tunayofuga, pia yakiozea shambani hurutubisha ardhi.
Kwa upande wangu unaonekana mtu mzima uliyekosa akili, unafikiri kura 30 za CUF zingeweza kushindana na kura 250 za CCM.
CUF ni chama Tawala, taka usitake. NCCR, TLP,UDP hawana impact. kwahiyo chama cha upinzani ni CHADEMA, Chama tawala ni CCM+CUF
sijue kupingana pingana ndio nini maana upizania ndani ya upinzani, CUF v/s Chadema kunani au kimojawapo CCM-B, kwanini wasielewane ndio maana hat wakati wa kampeini vijembe vyote vya kafu vilielekezwa kwa chadema hii sio shwali kabisa kuleta ukombozi wa walala hoi, sitawashaangaa kuwa chama kimojawapo kinakamilsha matakwa ya CCM
usitake kudanganya wana JF bwana, Cuf walishafunga ndoa na CCM, TLP ndo kabisaa,(Rejea misimamo ya Mrema kwa JK). Chadema ndo mpinzani wa kweli kwa sasa, mengineo majungu. Hatudanganyiki.Yaliyotokea ni haya hapa:
Kutoka ndani ya uvungu wao...
Walikaa Chadema na CUF ili waone wataingiaje Bungeni. Kabla ya Uchaguzi wa Spika, Hamad Rashid alitaka kugombea Uspika, Chadema wakamwambia hapana wacha Agombee huyu Mwanasheria, wewe utarudi katika kambi ya upinzani kwa cheo chako kile cha awali, na kwa kufanya hivyo tutagawana madaraka. Hamad akawakubalia na kuondoa azma yake ya kugombea U-Spika alipofanya hivyo, Zito akaibuka na kusema Wataunda kambi Chadema peke yake bila kushirikisha vyama vingine. hilo nalo. Hapo ndipo Marando alipozikosa kura ambazo zingemvusha kwenye Uspika. Na hii imefanyika kutokana na ufinyu wa fikra (kama sio viongozi waandamizi wa Chadema kupewa chochote toka CCM) wakidhani kwamba umaarufu unatokana na kuongoza kambi ya upinzani bungeni bila kuwa na ushirikiano kutoka vyama vingine. Walichokisahau Chadema ni kuwa CUF walijaribu kutoshirikisha vyama vingine awali na kisha wakajirekebisha, na hapo wasiomjua Slaa ndipo walipomtambua. Ila kwa kwa hili la ubinafsi wa CHADEMA wameumaliza UPINZANI Tanzania. Tutafute kaburi tuuzike...
Tusubiri kuundwa kwa chama kipya kisicho na damu ya U-CCM-CCM.:sad:
Nawasilisha.
chadema ndio wapinzani pekee na kweli wawe waangalifu na MaCCM B wasiwaaribie.
Huo sasa ni umbea taslimu.
CHADEMA 45 + CUF 34 + NCCR 4 + TLP, UDP 2 = 85
CCM = 251
Hapo uspika wa Marando uko wapi Mwanamageuko? au na wewe unataka kuchakachua JF?
Kwani chadema wao si wamesema wapo 12% na wanatosha? nadhani bunge sio sehemu ya majaribio wapinzani wengine wanaona mbali ndio maana wamempa mtu mwenye uwezo tatizo la chadema wameshalewa ukubwa mapema!!!!
Halima mdee=viti maalum wote wa CCM na CUF + kumi wa kuchaguliwa