Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

Waberoya vipi ndg yangu? You hapen to be so bitter, masilai binafsi yameguswa nini, poa ndg kila jambo lina wakati wake, 1995 sio leo ndugu yangu. Kenya vilevile walianza na wasaliti wengi hata leo wanaendelea na kazi ya kupanga na kupangua safu zao. Kazi yeyote ni mahesabu tu, long term plan. Tuwatie moyo pioneers wetu. Aluta Continua!
 
Haya Bwana!! kwa hiyo chadema ndio pekee wapinzani!

back to the history, see reality, know what is real happening in these parties!

Note that, we have no opposition parties and chadema they are not among them!! neither ccm!!!!!!!!!

labda mtu aniambie kuwa idadi ya wabunge wa chadema inaweza kuleta mabadiliko yanayoweza kuonekana, zaidi ya kuongea,

bado hawana nguvu na kubaguana huku na kutengana kwao huku ndio kunakopelekea kusema chadema hipi unayosema ya wapinzani? waliopata urais asilimia 24 ndogo zaidi ya aliyopata Mrema mwaka 1995!! acheni ushabiki we have long way with these sorts of mind!

hoja yako ya kuwa serikali ya mseto ya cuf na ccm kinaiondoa cuf kuwa chama cha siasa ni ya hatari na ya kupingwa mno, unaishi karne ya 11 au 12 hivi! tunahitaji serikali kama hiyo Tanzania bara pia!

katika serikali ya mseto, viongozi wanataka uongozi ili walete kitu fulani unique na kuweka historia kuwa walitatua matatizo fulani, hawapati uongozi kwa sababu ya dhiki zao na wajaze matumbo yao kama viongozi wengi wanavyowaza!

with such mind of yours, never expect kuwa kura yako vote(latin-votum) which means 'choice' au 'wishes' kuwa itafanya kitu chochote.

ni ujinga na upumbavu uliotukuka kuamka asubuhi kumpigia kura Slaa ili awe rais, yet anakosa urais , lakini kura yako haina nafasi yoyote ya kihistoria, that led 10million people not to vote just recently!!

serikali ya mseto ingemfanya Slaa kuwa mmoja wa watu watakaounda serikali, I mean chadema ingepewa kama wizara 4 hivi, ndio kenya wanavyoishi hivyo, so as South Africa etc......

Tuwaze mabadiliko ya katiba yatakayo accomodate vyama vyote, kama kuna vyama vitakavyochemsha automatically vinakimbiwa na wananchi!!!!

nchi ni ya wote regardless of our respective vyama!!! haiwezekani aliyeshinda asilimia 61, atuongoze miaka mitano ijayo, na haikuwezekana zanzibar waliopitana kwa asilimia 1% basi ccm waongeze serikali-ingekuwa haimake sense

kwa mawazo yako haya sitaki kukubaliana na wakenya kuwa kenya wako mbele miaka 15 kidemokrasia kuliko tanzania!!!! japo kwa mawazo yako unadhihirisha

ushabiki wa chadema humu fanya, ila kumbuka hatujuani, hoja na ukweli daima viwe kinga ya kulinda utu na akili zetu za kawaida, kusema kila kitu kwa lengo ya kuisifia chadema sio kukijenga!

chadema iangalie ni wapi ilipokosea, mpaka ikakosa kushirikiana na vyama vingine!!

ilikuwa nccr, ikaja cuf na sasa ni chadema historia ni mbaya sana, usishangae next five years chadema hii ikawa sio hii ya leo, kwa mawazo mgando mliyokuwa nayo wa kujiona superior

chama pekee chenye hostoria iliyoleta mabadiliko nchi hii na wengine wanapaswa kujifunza ni CUF-zanzibar, then those can be applaused!

ebu kua kidogo

Inawezekana zamani kilikuwa cha upinzani lakini kwa mabadiliko yaliyotokea juzi kimekuwa sehemu ya serikali ya CCM, kimekoma kuwa cha upinzani. Bahati mbaya vyama vingine vimejiunga na CUF bila kujua kuwa ni chama tawala sawa na CCM.
 
mimi nipo completely opposite to you! Kwa sasa CHADEMA ndio chama kinachopingwa na kuandamwa na vyama vingine vyote. Kwa maneno mengine Chadema sasa ni chama kikuu na vingine vyote ni vya upinzani. Na hiyo ni kwa sababu;
1. Kimeshika miji mikuu na majiji yote
2. Ni makini na kina watu makini na asilimia kubwa ya wananchi wanakiunga mkono hasa wasomi ambao ndio nguzo ya nchi
3. Kinasimamia ukweli daima
4.
 
Kaka Chadema magugu mengi, na magugu huwa yakiota mimea mizuri inakuwa hatarini. Zitto, wenje, .........
your a mess, talking messy stuff just like your profile name
 
mimi nipo completely opposite to you! Kwa sasa CHADEMA ndio chama kinachopingwa na kuandamwa na vyama vingine vyote. Kwa maneno mengine Chadema sasa ni chama kikuu na vingine vyote ni vya upinzani. Na hiyo ni kwa sababu;
1. Kimeshika miji mikuu na majiji yote
2. Ni makini na kina watu makini na asilimia kubwa ya wananchi wanakiunga mkono hasa wasomi ambao ndio nguzo ya nchi
3. Kinasimamia ukweli daima
4.

Coby hujanipinga wala, tunaongea kitu kimoja ila kwa njia tofauti. Ni sawa na kusema glasi imejaa maji nusu, au kusema nusu ya glasi hiyohiyo iko tupu.
 
Lakini baada ya TLP, NCCR na vyama vingine kuungana na CUF bungeni inamaanisha kuwa CUF, TLP, NCCR vyote vimeungana na CCM
Sina uhakika na kauli hii..........................ingawaje jinsi hivyo vyama uchwara vilivyo mpigia kura Anne Makinda inatia mashaka,,,,,,

...........................yawezekana kuna mkono wa mafisadi si unajua viongozi wetu kwa kitu kidogo..................
 
Wenye akili huwa hatubishani, na kila kitu cha kweli hujulikana ktk kila moyo wa mtu, ukweli bado unabaki kuwa chadema kwa sasa ndiyo chama pekee cha upinzani Tanzania, hili halian ubishi, labda uwe ubishi wa kisiasa tu lakini ukweli unabaki palepale, ni kama ubishi wa TAKUKURU, CHENGE,UINGEREZA,RADA, Kila mwenye akili tayari alishajua moyoni kwake cha uweli hapa ni kipi
 
Kwani chadema wao si wamesema wapo 12% na wanatosha? nadhani bunge sio sehemu ya majaribio wapinzani wengine wanaona mbali ndio maana wamempa mtu mwenye uwezo tatizo la chadema wameshalewa ukubwa mapema!!!!

Umelishwa limbwata na Chadema mbona uko kimbele front nao. Toa hoja ya hatima ya hali hii ili kila mtu afaidike. Kwa upeo wako sheria na taratibu zinatakiwa zipindwe kwa manufaa ya "mtu mwenye uwezo".

Mtazamo wangu CUF hawawezi kuusaliti muafaka wao na CCM kwa kupingana kwenye bunge la muungano wenye manufaa kwao. Hilo linaeleweka na wewe pia. Ila kumbuka kwamba Chadema wana sifa za kuongoza upinzani kwa kura walizopewa na wananchi.
 
Inabidi mjiimarishe na kuenea Tanzania nzima, bado watu wanashaka na chama chenu kuwa na ngome hasa mikoa ya kaskazini na viongozi wa juu kwa asilimia kubwa kutoka huko. Kuna wanaonusa harufu ya ukabila na u-kaskazini ukiondoa chembe chembe za Kigoma na Mara. Bado mna kazi kubwa ya kuwashawishi watanzania. Hao wenzenu CCM wanajivunia mtandao mkubwa na umiliki wa mali zilizochangiwa na kila mtanzania pamoja na ninyi. Wizi mtupu!
 
Haya Bwana!! kwa hiyo chadema ndio pekee wapinzani!

back to the history, see reality, know what is real happening in these parties!

Note that, we have no opposition parties and chadema they are not among them!! neither ccm!!!!!!!!!

labda mtu aniambie kuwa idadi ya wabunge wa chadema inaweza kuleta mabadiliko yanayoweza kuonekana, zaidi ya kuongea,

bado hawana nguvu na kubaguana huku na kutengana kwao huku ndio kunakopelekea kusema chadema hipi unayosema ya wapinzani? waliopata urais asilimia 24 ndogo zaidi ya aliyopata Mrema mwaka 1995!! acheni ushabiki we have long way with these sorts of mind!

hoja yako ya kuwa serikali ya mseto ya cuf na ccm kinaiondoa cuf kuwa chama cha siasa ni ya hatari na ya kupingwa mno, unaishi karne ya 11 au 12 hivi! tunahitaji serikali kama hiyo Tanzania bara pia!

katika serikali ya mseto, viongozi wanataka uongozi ili walete kitu fulani unique na kuweka historia kuwa walitatua matatizo fulani, hawapati uongozi kwa sababu ya dhiki zao na wajaze matumbo yao kama viongozi wengi wanavyowaza!

with such mind of yours, never expect kuwa kura yako vote(latin-votum) which means 'choice' au 'wishes' kuwa itafanya kitu chochote.

ni ujinga na upumbavu uliotukuka kuamka asubuhi kumpigia kura Slaa ili awe rais, yet anakosa urais , lakini kura yako haina nafasi yoyote ya kihistoria, that led 10million people not to vote just recently!!

serikali ya mseto ingemfanya Slaa kuwa mmoja wa watu watakaounda serikali, I mean chadema ingepewa kama wizara 4 hivi, ndio kenya wanavyoishi hivyo, so as South Africa etc......

Tuwaze mabadiliko ya katiba yatakayo accomodate vyama vyote, kama kuna vyama vitakavyochemsha automatically vinakimbiwa na wananchi!!!!

nchi ni ya wote regardless of our respective vyama!!! haiwezekani aliyeshinda asilimia 61, atuongoze miaka mitano ijayo, na haikuwezekana zanzibar waliopitana kwa asilimia 1% basi ccm waongeze serikali-ingekuwa haimake sense

kwa mawazo yako haya sitaki kukubaliana na wakenya kuwa kenya wako mbele miaka 15 kidemokrasia kuliko tanzania!!!! japo kwa mawazo yako unadhihirisha

ushabiki wa chadema humu fanya, ila kumbuka hatujuani, hoja na ukweli daima viwe kinga ya kulinda utu na akili zetu za kawaida, kusema kila kitu kwa lengo ya kuisifia chadema sio kukijenga!

chadema iangalie ni wapi ilipokosea, mpaka ikakosa kushirikiana na vyama vingine!!

ilikuwa nccr, ikaja cuf na sasa ni chadema historia ni mbaya sana, usishangae next five years chadema hii ikawa sio hii ya leo, kwa mawazo mgando mliyokuwa nayo wa kujiona superior

chama pekee chenye hostoria iliyoleta mabadiliko nchi hii na wengine wanapaswa kujifunza ni CUF-zanzibar, then those can be applaused!

ebu kua kidogo

CUF my foot sharing a bed with an enemy. Nakuelewa kuwa unamsimamo usiolegalega kuhusu CUF. Tatizo ni kwamba Chadema wamechaguliwa na wananchi wa Tanganyika kwa kiwango hiki. CUF wamechaguliwa na Wapemba.

Ebu tueleze kambi ya upinzani Zanzibar ni ipi? Na wanapinga nini wakiwa ndani ya serikali hiyo hiyo?

Naomba tuheshimu mkondo unavyokwenda too hell with CUF in Tanzania mainland (Tanganyika)
 
Bunge la mwaka 2000-2005 wapinzani walikuwa wengi lakini cheche bungeni zilikuwa kiduchu, bunge la 2005-2010 walikuwa wachache lakini wali ipinga ngala serikali mpaka EL akabwaga manyanga. Sasa hivi vichwa vilivyo ingia bungeni kupitia wapinzani ni balaa! Mi nadhani Tundu Lissu peke yake atawakimbiza puta CCM humo, mpaka watashika adabu! Sija mtaja Zitto aliye kwenda kumtoa mbio Ole Sendeka kwenye kipaza sauti cha Malando! Kuna Kafulila, Mdee, Mbowe, hadi raha!
 
Hakuna shamba linalokosa magugu, wakati mwingine magugu yanafaida, wakati wa kiangazi Magugu hutunza unyevunyevu ardhini na kuzuia mchwa wasitafune mazao. Magugu mengine ni chakula cha mifugo tunayofuga, pia yakiozea shambani hurutubisha ardhi.
Mmmmh watu hamuishiwi hoja za kujibu hahahaha, nimeipenda hiyo mkuu.
 
ukisoma maneno ya Hamad Rashid alipokua akizungumza na gazeti la Habari leo utagundua kuwa chadema kinajiona wao peke yao ndio kina haki ya kuchagua nani awemo kwenye kambi yaupinzani pia wao wamehodhi nafasi zote za uongozi kwenye kambi hio

huku pembeni wakidanganya watu ati CUF na vyama vyengine ndio kikwazo

haya ni maneno ya Hamad

"Katika hatua nyingine, Hamad alisema CUF inaendelea na mazungumzo na Chadema kuhusu kuundwa kambi ya upinzani na imetoa masharti kwa Chadema kuwa itashirikiana nayo iwapo itaviingiza vyama vyote kwenye kambi hiyo.

Alipoulizwa itawezekanaje wakati Chadema imeshaunda kambi ya upinzani na kuteua viongozi wake, alisema “jana (juzi) niliongea na Mbowe (Freeman) na anaweza kubadilisha kambi yake, nasi CUF tumetoa masharti ya kuungana nao ni kambi kuwa na vyama vyote na si CUF na Chadema pekee,” alisema Hamad ambaye ni Mbunge wa Wawi, Pemba."

Sourcre:HabariLeo | Sitta amwosia Anne Makinda
 
CUF itaungana na vyama vingapi? CUF imeungana na ccm so wao wamewauhujumu wananchi kwa uroho wa madaraka waendelee tu![
 
"Katika hatua nyingine, Hamad alisema CUF inaendelea na mazungumzo na Chadema kuhusu kuundwa kambi ya upinzani na imetoa masharti kwa Chadema kuwa itashirikiana nayo iwapo itaviingiza vyama vyote kwenye kambi hiyo.

Alipoulizwa itawezekanaje wakati Chadema imeshaunda kambi ya upinzani na kuteua viongozi wake, alisema "jana (juzi) niliongea na Mbowe (Freeman) na anaweza kubadilisha kambi yake, nasi CUF tumetoa masharti ya kuungana nao ni kambi kuwa na vyama vyote na si CUF na Chadema pekee," alisema Hamad ambaye ni Mbunge wa Wawi, Pemba."

Sourcre:HabariLeo | Sitta amwosia Anne Makinda
Source Habari Leo? simple logic ulishaona mpangaji akamhamisha chumba mwenye nyumba ili yeye akae, kwanini wasiwaombe uongozi CCM walioungana nao waje kulazimisha Chadema?
 
Upuuzi huu;

KAFU iko upande wa SISIEMU, na wabunge wake wanapata maagizo kutoka serikali ya mseto ya Zanzimbar (CCM+CUF) namna ya kupiga kura. Wanatakaje kuwa upande wa upinzani na wakati huo huo wanasikiliza maagizo kutoka Ikulu ya Zanzibar inayomilikiwa na chama tawala CCM?
 
Back
Top Bottom