Mallaba
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 2,554
- 48
CUF ni ndumila kuwili tu na wanataka kula sehemu zote zote...
Upuuzi huu;
KAFU iko upande wa SISIEMU, na wabunge wake wanapata maagizo kutoka serikali ya mseto ya Zanzimbar (CCM+CUF) namna ya kupiga kura. Wanatakaje kuwa upande wa upinzani na wakati huo huo wanasikiliza maagizo kutoka Ikulu ya Zanzibar inayomilikiwa na chama tawala CCM?