Chama cha siasa chenye nia njema na wananchi na hasa taifa hupigana mpaka mwisho wa vita by using all means afforded by the law of the land for this nina maswali mengi sana of what was the original goal of CUF na ni nini hasa muelekeo wao mbele ya safari maana so far haueleweki kama ni taifa, wananchi au kutaka power tu!
- As much as I like mufaka bado siwezi ku-betray my political revolutionary mind kwamba this new mufaka thing is simply majibu rahisi rahisi kwa maswali magumu, I mean calling a spade for what it is CUF wamekubali kushindwa, kwamba njia zote zinazokubalika kisheria kwa wao kushinda uchaguzi huko Visiwani zimewashinda na hawana uvumilivu unaotakiwa katika siasa za taifa kama ule wa kina Mandela!
- Now let me ask this, kwa nini Chadema wanataka kuungana bungeni na hawa political jokers?
now you talk like Rene Descartes the father of great thinkers, Lipumba na Hamadi ni vibaraka wakubwa wa CCM wapo kwa maslahi binafsi , kama Chadema wanataka kuwa wapinzani wa kweli waachane na hawa vibaraka, vyama vyote vilivyopo bungeni ukiacha chadema vina mkono wa CCM, TLP Mrema alimpigia kampeni JK , UDP Cheyo alimpigia kampeni JK, NCCR Mbatia alitumiwa kudhoofisha Chadema, CUF wapo kwenye muafaka na CCM. Chadema hawana haja ya kuungana na vyama hivyo kwenye upinzani ni kupoteza muda, nina uhakika kabisa CUF, TLP na NCCR vitatumiwa na CCM .