Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Street food mkuu miaka hiyo hawezi kuweka chain ilikua anaganga njaa tu.Kipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma , kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club , ilikuw waina uza Hamburgers matata sana , taste ya zile hamburge , ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo i can taste them , nani alikuwa owners wa hiyo kitu na alishia wapi , by now angekua na Chain y hizo.
NImeona sehemu nyingi za Burger hapa Dar na nime kula , hakuna hata moja niio ipenda zaidi ya sehemu moja ilikuwa pale Morocco kipindi cha nyuma sana kwenye petrol station , burger zao angalau zilikuwa na taste nzuri. Mfano nime kula burgers za McDonalds na Buurger King, nime tokea ku penda zaidi za Burger King, sasa nilidhani labda taste ya zile burger za ile sehemu zilikuwa nzuri sana na labda kama ange baki kwnye hiyo bu leo labda angekua yuko juu , kpindi hicho labda sio wengi walipenda burgers .Street food mkuu miaka hiyo hawezi kuweka chain ilikua anaganga njaa tu.
Mbona burger sehemu nyingi tu hapo mjini
Yah walaji wa burger si wengi bongo ,NImeona sehemu nyingi za Burger hapa Dar na nime kula , hakuna hata moja niio ipenda zaidi ya sehemu moja ilikuwa pale Morocco kipindi cha nyuma sana kwenye petrol station , burger zao angalau zilikuwa na taste nzuri. Mfano nime kula burgers za McDonalds na Buurger King, nime tokea ku penda zaidi za Burger King, sasa nilidhani labda taste ya zile burger za ile sehemu zilikuwa nzuri sana na labda kama ange baki kwnye hiyo bu leo labda angekua yuko juu , kpindi hicho labda sio wengi walipenda burgers .
Sina uhakika kama Steers ipo bado, Best Bite ipo , ila sija kwenda zidi hata ya miaka 20 , KFC sipendi chicken burgers , kiujumla burger nilizo penda ni Buger King (hatuna Bongo) na ile iliyo uzwa pale Petrol ststion kwenye container Morocco na sasa walihama kupisha upanuzi wa barabara , sijui wako wapi kwa sasa na mwisho ni hiyo Burger joint iliyo kuwepo hapo Posta zamni , naamini taste ya ilikuwa Nzuri sana .Yah walaji wa burger si wengi bongo ,
steers ipo mkuu?,
best bite zinapatikana na
kwa sasa ipo kfc sema ile pale either java lounge au hard rock cafe na kuna mshkaji nje pale mbele ya petrol station ndio alikua anauza as street food bei chee.
We utakua ulikula hapo👊
Kun dada open kitchen yuko mbezi , sinza na Airport check nae naona huwa anapost burger sana agiza moja uonje.Sina uhakika kama Steers ipo bado, Best Bite ipo , ila sija kwenda zidi hata ya miaka 20 , KFC sipendi chicken burgers , kiujumla burger nilizo penda ni Buger King (hatuna Bongo) na ile iliyo uzwa pale Petrol ststion kwenye container Morocco na sasa walihama kupisha upanuzi wa barabara , sijui wako wapi kwa sasa na mwisho ni hiyo Burger joint iliyo kuwepo hapo Posta zamni , naamini taste ya ilikuwa Nzuri sana .
... perception ya vitu utotoni ni tofauti kabisa na ukubwani. Uliziona zile burger za kipekee kwa sababu ya umri wako kipindi kile but hazina tofauti na za leo; 40 yrs later.NImeona sehemu nyingi za Burger hapa Dar na nime kula , hakuna hata moja niio ipenda zaidi ya sehemu moja ilikuwa pale Morocco kipindi cha nyuma sana kwenye petrol station , burger zao angalau zilikuwa na taste nzuri. Mfano nime kula burgers za McDonalds na Buurger King, nime tokea ku penda zaidi za Burger King, sasa nilidhani labda taste ya zile burger za ile sehemu zilikuwa nzuri sana na labda kama ange baki kwnye hiyo bu leo labda angekua yuko juu , kpindi hicho labda sio wengi walipenda burgers .
Waswahili wakila burgers wanafikiri ndio maendeleo hawajui hizo ni junk foods!! Kuleni viazi vya kuchemsha na mboga za majani mtakuwa na afya; hayo maburger yanaleta maradhi!!NImeona sehemu nyingi za Burger hapa Dar na nime kula , hakuna hata moja niio ipenda zaidi ya sehemu moja ilikuwa pale Morocco kipindi cha nyuma sana kwenye petrol station , burger zao angalau zilikuwa na taste nzuri. Mfano nime kula burgers za McDonalds na Buurger King, nime tokea ku penda zaidi za Burger King, sasa nilidhani labda taste ya zile burger za ile sehemu zilikuwa nzuri sana na labda kama ange baki kwnye hiyo bu leo labda angekua yuko juu , kpindi hicho labda sio wengi walipenda burgers .
Namuona huyo daa nitajribu kuona taste zake zikoje ,, asanteKun dada open kitchen yuko mbezi , sinza na Airport check nae naona huwa anapost burger sana agiza moja uonje.
Nafurahi kusikia hivyo, ila ulikuwa una choma Pizza na sio Burgers? na je kwanini ulifunga na je huna mpango wa kurudisha au ufanye joint na wawekezaji kw eneo hilo?Mi ndo nlikua natengeneza hiyo mambo na ndo nilikua mtaalam wa kuchoma pizza enzi hizo E.A chef niko peke yangu nimesomea Auguste Escoffier school of culinary Texas USA
Rekebisha hapo ni hamburger or simply burger. Sio hamberger
Ndio maana sija zungumzia kwenda Kempisky kula Burger au popote kwenye high end restourant kula Burger , sababu nimekula Burger zaidi nilipo kuwa mwanafunzi sababu ya a quick meal , hakuna asie elewa hiyo ni fast food na sio chakula cha hadhi wala cha afya njema na ndio maana nika zungumzia hao street venders ,kama ningedhani ni posh kula Burger ningesema nakwenda huko Kempisky kula burger. Kingine kula viazi pia sio afya kama unavyo dhani ,hizo ni carbs na carbs zina matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu na ndio chanzo kikubwa cha kunenepa na kupandisha sukarli kwenye damu na kkupa inflammation za kutisha , kuliko unavyo kwepa red meat .Waswahili wakila burgers wanafikiri ndio maendeleo hawajui hizo ni junk foods!! Kuleni viazi vya kuchemsha na mboga za majani mtakuwa na afya; hayo maburger yanaleta maradhi!!
Asante sana , hilo ndio nilikuw na naliwaza sana labda ina wezaekna ni umri na choice kuikuwa hakuna ndio ilitufanya tudhani ni special taste.... perception ya vitu utotoni ni tofauti kabisa na ukubwani. Uliziona zile burger za kipekee kwa sababu ya umri wako kipindi kile but hazina tofauti na za leo; 40 yrs later.
Zamani utotoni moja ya zawadi za kipekee ambazo nilitamani kupewa na mwenyeji ugenini ni soda iwe Coca au Pepsi; bila hiyo nilijiona kabisa safari yangu haijakamilika. Zamani vyakula kama chapati vilikuwa vya kipekee sana utotoni. Leo hii vyote hivyo ni ubatili!
In summary; age has a significant impact on how human beings perceive things. Simple!
Asante sana nita cheki huyu dadaKun dada open kitchen yuko mbezi , sinza na Airport check nae naona huwa anapost burger sana agiza moja uonje.
Katika maisha yote sijawai kula burger😁,Ndio maana sija zungumzia kwenda Kempisky kula Burger au popote kwenye high end restourant kula Burger , sababu nimekula Burger zaidi nilipo kuwa mwanafunzi sababu ya a quick meal , hakuna asie elewa hiyo ni fast food na sio chakula cha hadhi wala cha afya njema na ndio maana nika zungumzia hao street venders ,kama ningedhani ni posh kula Burger ningesema nakwenda huko Kempisky kula burger. Kingine kula viazi pia sio afya kama unavyo dhani ,hizo ni carbs na carbs zina matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu na ndio chanzo kikubwa cha kunenepa na kupandisha sukarli kwenye damu na kkupa inflammation za kutisha , kuliko unavyo kwepa red meat .
Ilikuwa inaitwa BURGER HUT,Owner alikuwa anaitwa Jalal jamaa wa Kibohora ambae pia alikuwa ana own Rendezvou Restaurant na Kongwa Beef Butcher samora Avenue,jamaa alifariki zaidi ya miaka 30 iliyopitaKipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club.
Ilikuwa wanauza Hamburgers matata sana, taste ya zile hamburge, ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo I can taste them.
Nani alikuwa owners wa hiyo kitu na alishia wapi, by now angekua na Chain ya hizo.
Kwa wenzetu ni vyakula cheapWaswahili wakila burgers wanafikiri ndio maendeleo hawajui hizo ni junk foods!! Kuleni viazi vya kuchemsha na mboga za majani mtakuwa na afya; hayo maburger yanaleta maradhi!!
AsanteIlikuwa inaitwa BURGER HUT,Owner alikuwa anaitwa Jalal jamaa wa Kibohora ambae pia alikuwa ana own Rendezvou Restaurant na Kongwa Beef Butcher samora Avenue,jamaa alifariki zaidi ya miaka 30 iliyopita
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app