Burger mitaa ya Posta

Burger mitaa ya Posta

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
Kipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club.

Ilikuwa wanauza Hamburgers matata sana, taste ya zile hamburge, ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo I can taste them.

Nani alikuwa owners wa hiyo kitu na alishia wapi, by now angekua na Chain ya hizo.
 
Kipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma , kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club , ilikuw waina uza Hamburgers matata sana , taste ya zile hamburge , ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo i can taste them , nani alikuwa owners wa hiyo kitu na alishia wapi , by now angekua na Chain y hizo.
Street food mkuu miaka hiyo hawezi kuweka chain ilikua anaganga njaa tu.
Mbona burger sehemu nyingi tu hapo mjini
 
NImeona sehemu nyingi za Burger hapa Dar na nime kula , hakuna hata moja niio ipenda zaidi ya sehemu moja ilikuwa pale Morocco kipindi cha nyuma sana kwenye petrol station , burger zao angalau zilikuwa na taste nzuri. Mfano nime kula burgers za McDonalds na Buurger King, nime tokea ku penda zaidi za Burger King, sasa nilidhani labda taste ya zile burger za ile sehemu zilikuwa nzuri sana na labda kama ange baki kwnye hiyo bu leo labda angekua yuko juu , kpindi hicho labda sio wengi walipenda burgers .
 
Yah walaji wa burger si wengi bongo ,
steers ipo mkuu?,
best bite zinapatikana na
kwa sasa ipo kfc sema ile pale either java lounge au hard rock cafe na kuna mshkaji nje pale mbele ya petrol station ndio alikua anauza as street food bei chee.
We utakua ulikula hapo👊
 
Sina uhakika kama Steers ipo bado, Best Bite ipo , ila sija kwenda zidi hata ya miaka 20 , KFC sipendi chicken burgers , kiujumla burger nilizo penda ni Buger King (hatuna Bongo) na ile iliyo uzwa pale Petrol ststion kwenye container Morocco na sasa walihama kupisha upanuzi wa barabara , sijui wako wapi kwa sasa na mwisho ni hiyo Burger joint iliyo kuwepo hapo Posta zamni , naamini taste ya ilikuwa Nzuri sana .
 
Kun dada open kitchen yuko mbezi , sinza na Airport check nae naona huwa anapost burger sana agiza moja uonje.
 
NImeona sehemu nyingi za Burger hapa Dar na nime kula , hakuna hata moja niio ipenda zaidi ya sehemu moja ilikuwa pale Morocco kipindi cha nyuma sana kwenye petrol station , burger zao angalau zilikuwa na taste nzuri. Mfano nime kula burgers za McDonalds na Buurger King, nime tokea ku penda zaidi za Burger King, sasa nilidhani labda taste ya zile burger za ile sehemu zilikuwa nzuri sana na labda kama ange baki kwnye hiyo bu leo labda angekua yuko juu , kpindi hicho labda sio wengi walipenda burgers .
... perception ya vitu utotoni ni tofauti kabisa na ukubwani. Uliziona zile burger za kipekee kwa sababu ya umri wako kipindi kile but hazina tofauti na za leo; 40 yrs later.

Zamani utotoni moja ya zawadi za kipekee ambazo nilitamani kupewa na mwenyeji ugenini ni soda iwe Coca au Pepsi; bila hiyo nilijiona kabisa safari yangu haijakamilika. Zamani vyakula kama chapati vilikuwa vya kipekee sana utotoni. Leo hii vyote hivyo ni ubatili!

In summary; age has a significant impact on how human beings perceive things. Simple!
 
Waswahili wakila burgers wanafikiri ndio maendeleo hawajui hizo ni junk foods!! Kuleni viazi vya kuchemsha na mboga za majani mtakuwa na afya; hayo maburger yanaleta maradhi!!
 
Kun dada open kitchen yuko mbezi , sinza na Airport check nae naona huwa anapost burger sana agiza moja uonje.
Namuona huyo daa nitajribu kuona taste zake zikoje ,, asante
Mi ndo nlikua natengeneza hiyo mambo na ndo nilikua mtaalam wa kuchoma pizza enzi hizo E.A chef niko peke yangu nimesomea Auguste Escoffier school of culinary Texas USA
Nafurahi kusikia hivyo, ila ulikuwa una choma Pizza na sio Burgers? na je kwanini ulifunga na je huna mpango wa kurudisha au ufanye joint na wawekezaji kw eneo hilo?
 
Waswahili wakila burgers wanafikiri ndio maendeleo hawajui hizo ni junk foods!! Kuleni viazi vya kuchemsha na mboga za majani mtakuwa na afya; hayo maburger yanaleta maradhi!!
Ndio maana sija zungumzia kwenda Kempisky kula Burger au popote kwenye high end restourant kula Burger , sababu nimekula Burger zaidi nilipo kuwa mwanafunzi sababu ya a quick meal , hakuna asie elewa hiyo ni fast food na sio chakula cha hadhi wala cha afya njema na ndio maana nika zungumzia hao street venders ,kama ningedhani ni posh kula Burger ningesema nakwenda huko Kempisky kula burger. Kingine kula viazi pia sio afya kama unavyo dhani ,hizo ni carbs na carbs zina matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu na ndio chanzo kikubwa cha kunenepa na kupandisha sukarli kwenye damu na kkupa inflammation za kutisha , kuliko unavyo kwepa red meat .
 
... perception ya vitu utotoni ni tofauti kabisa na ukubwani. Uliziona zile burger za kipekee kwa sababu ya umri wako kipindi kile but hazina tofauti na za leo; 40 yrs later.

Zamani utotoni moja ya zawadi za kipekee ambazo nilitamani kupewa na mwenyeji ugenini ni soda iwe Coca au Pepsi; bila hiyo nilijiona kabisa safari yangu haijakamilika. Zamani vyakula kama chapati vilikuwa vya kipekee sana utotoni. Leo hii vyote hivyo ni ubatili!

In summary; age has a significant impact on how human beings perceive things. Simple!
Asante sana , hilo ndio nilikuw na naliwaza sana labda ina wezaekna ni umri na choice kuikuwa hakuna ndio ilitufanya tudhani ni special taste.
 
Ndio maana sija zungumzia kwenda Kempisky kula Burger au popote kwenye high end restourant kula Burger , sababu nimekula Burger zaidi nilipo kuwa mwanafunzi sababu ya a quick meal , hakuna asie elewa hiyo ni fast food na sio chakula cha hadhi wala cha afya njema na ndio maana nika zungumzia hao street venders ,kama ningedhani ni posh kula Burger ningesema nakwenda huko Kempisky kula burger. Kingine kula viazi pia sio afya kama unavyo dhani ,hizo ni carbs na carbs zina matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu na ndio chanzo kikubwa cha kunenepa na kupandisha sukarli kwenye damu na kkupa inflammation za kutisha , kuliko unavyo kwepa red meat .
Katika maisha yote sijawai kula burger😁,
Yaani hata nikiagiza ntatoa mkate tupa kule nakula nyama tu na sallad na chips kiasi🙌
 
Kipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club.

Ilikuwa wanauza Hamburgers matata sana, taste ya zile hamburge, ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo I can taste them.

Nani alikuwa owners wa hiyo kitu na alishia wapi, by now angekua na Chain ya hizo.
Ilikuwa inaitwa BURGER HUT,Owner alikuwa anaitwa Jalal jamaa wa Kibohora ambae pia alikuwa ana own Rendezvou Restaurant na Kongwa Beef Butcher samora Avenue,jamaa alifariki zaidi ya miaka 30 iliyopita

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom