Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Marehemu Ali alikuwa na ndoto ya kuwa mwenyekiti wa sekta binafsi, lakini nafaisi ilipo patikana mwaka 2018, alifuatwa na Sembeye kuombwa kugombea nafasi hiyo AKAKATAA NA KUSEMA SIO SASA NINA MAMBO MENGINE YA KUFANYA kauli hii kaongea Simbeye kwa uchungu sana mpaka amelia.
Lazima kuna kitu Ali alimwambia hasa kwa kuwa utawala wa awamu hii umeamua kuwatesa matajiri, akaona asiwe sehemu ya kuwafanya waishi kama mashetani, maskini Ali alijua sekta inaenda kufa na hakutaka imfie yeye. Halafu mtu anaandika amesikitishwa sana na kifo cha mtu alietaka awe shetani. Unafiki.
Sinayo kwa sasa, ila alikua anaonesha namna bora ya kukabiliana na tatizo la maji mabondeni ki-science zaidi, bila ya kuleta athari yoyote kwa mali na watu, kwa mfano kujenga mifreji na mabwawa etc. I was so impressed. Mungu amrehemu kwa mawazo yake mema ya kuwahurumia binadamu wenzake Inshalah.share nasisi ushauri wake pls...
kwamba alikuwa na hoja nzuri watu wazidi kuishi mabondeni?
Nisaidie nijifunze something mkuu
Sinayo kwa sasa, ila alikua anaonesha namna bora ya kukabiliana na tatizo la maji mabondeni ki-science zaidi, bila ya kuleta athari yoyote kwa mali na watu, kwa mfano kujenga mifreji na mabwawa etc. I was so impressed. Mungu amrehemu kwa mawazo yake mema ya kuwahurumia binadamu wenzake Inshalah.
Machinjio kivipi sijaelewaAti naye alikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wamepangisha vyumba vya hoteli fulani fulani mjini permanently? Yaani room inajulikana ni ya kwake na amelipia mwaka mzima? Wengine wanadai rooms hizo zilikuwa machinjio.
Na majina ya hizo hoteli wengine wanayajua moja baada ya nyingine.
Na hata mkulu aliwahi kusema katika moja ya hotuba yake kuwa watu wa aina hiyo amewakomesha, wanaisoma namba!
Hahah itakua na yeye alikua amemiss kwenda kuchinjiwa kwny hayo ma-hotels.Umefurahi mwenyewee!
Huzi ndo akili za watz jamani!kuomba kupunguziwa bei ndo alikua ameyumba kiuchumi?jaribu kufikiria upya..au la unajitibu maumivu yako ww kwa kumsukumizia mtu baki!...unajipa relief!pole hata hvyo!😊
Acha kuwa wakala wa shetani kila nafsi itaonja mauti.Acha kutulisha matango pori!!!praise team!!!Ruge vs konda,mengi suporting membe foi presidency,mufuruki vs sera ya viwanda bila malighafi ya kilimo,anauliza kilimo kwanza kiko wapi ili kusapoti viwanda??????
Reference yangu ni mkuu kiranga hao wengine wataongelewa muda wa umuhimu wao kuongelewa ukifika.Mbona wanaomsifia huwa husemi wana upendo wa kiwango cha kimataifa?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu
Hiyo ni bla blah my nigga
Delete that shit,hakuna mtoto hapa bana!
If you see an iceberg you only see 10% forgetting 90% below the surface of the ocean.
i have known the late for the past 15yrs. only few have been said.
NB: Kukosekana kwa ufasaha katika maneno yako kunakupunguzia credibility
ya kuona mambo (vision) katikati ya mistari.Poole sana!
You have seen it but u failed to understand the conceptI have seen it too.
Mkuu ilete hapaWatu wanaongea tu Mkuu. Nimesoma post nyingi lkn huyu jamaa watu hawamjui vizuri. Kuna mengi hayajasemwa pengine wengi wamemjua juzi juzi kuna thread moja ya 2008 hivi kuhusu jamaa mkiipata mtapata mwanga.
Alijua tu awamu ya kuangamiza wafanyabiashara umefika.Na Vodacom pia....alisitisha mkataba wake kama Mwenyekiti wa Bodi
Siasa ndio inayo amua maisha yetu, inapanga kila kitu kuanzia kula yetu mpaka afya yetu.Siasa tena? Mkuu acha hizo
Ungerekebisha kama kuna tatizo la gramma ili niuone uwezo wako!!!!kama TUNDU LISSU,IMRAN KOMBE WOTE WALIPIGWA RISASI!!!TUNA WAAMINIJE WANACCM????English mbovu...
Plus umalazimisha tuamini kuwa wameuawa?
siasamavi.com
Ungerekebisha kama kuna tatizo la gramma ili niuone uwezo wako!!!!kama TUNDU LISSU,IMRAN KOMBE WOTE WALIPIGWA RISASI!!!TUNA WAAMINIJE WANACCM????