Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
π π π π π π π πJe na wewe ulishiriki katika hiyo Shura kwa Mtoro kama ulivyomuahidi Chikusa?
Dunia ina mitihani sana...kamuachia majanga mwenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π π π π πJe na wewe ulishiriki katika hiyo Shura kwa Mtoro kama ulivyomuahidi Chikusa?
Mzee Said sio mjinga ndio waasisi hawa wa msemo maarufu wa "ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO,,angesema kama alikua front line alinusurikaje madhira yaliyomkuta ChikusaJe na wewe ulishiriki katika hiyo Shura kwa Mtoro kama ulivyomuahidi Chikusa?
Ukahaba ,ni biashara haramu kwa tamduni zetu za ki Africa. Na kiimani watu wamekatazwa kukaribia zinaa.Ama kwel sasa mbona hapa sudan karb na royal girrafe hotel kama unaelekea temeke hospital kutokea sudan upande wa kulia kuna msikiti afu kuna uchichoro hapo hapo msikitini ni kama dakika moja tuu kutoka msikitini unakutana na nyumba za wahaya wanajiuza[emoji56][emoji1787][emoji2957][emoji2957]
Tangawizi,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dunia ina mitihani sana...kamuachia majanga mwenzake
Donnie...Siku hii ya Jumapili yaani Easter Sunday mimi ndiyo niliingia Dar es Salaam nikitokea Le Havre, Ufaransa nikaja Paris kwa muda wa siku mbili kisha nikaenda London kisha Cardiff na kurejea London kupanda ndege kurudi Dar es Salaam.
Nasikia waliondoka nayo..kwenda mahali kusiko julikana..ngoja mazee aje atupe majibu yake ya kupindisha.Ila kitimoto---kumbe hakijaanza balaa leo?
Hivi walioenda kuvunja--nyama waliichoma au waliizika?
Au waliiacha iharibike?
kwa hiyo easter ulikula huko?Donnie...
Kipande hiki umekipenda?
Nakuongeza kipande kingine.
Nilikuwa London na Glasgow 1991.
Nikarejea tena Uingereza 1992 kwa kipindi kirefu na nikazunguka kwingi hadi North Sea.
Nikarudi Dar es Salaam.
Ndiyo nikaenda Le Havre.
Kuna mtu kanishikilia anataka kuandika maisha yangu anasema nina mengi.
Mimi jibu langu ni kuwa sina kitu.
Sasa yeye anataka kuniandika kwa hiyo nimemwambia nitakuwa "detailed," katika kuandika kwangu ili anifahamu.
Ikiwa hii umeipenda nifahamishe.
Nina mengi na picha nyingi.
Mnyatiaji,Kuna vitu huwezi toa amri wengine waviache kisa dini yako imekataa wakati dini zingine zinakubali hicho kitendo cha kuvunja bucha ata mimi sijakifurahia kwani Waislamu walishundwa nini kuwa wanazipita mbali hizo bucha
Donnie,kwa hiyo easter ulikula huko?
Tukienda kwenye ukweli..nahisi mna tatizo la inferiority complex..plus ujinga.Mnyatiaji,
Baada ya yote yale kutokea mimi binafsi nilikaa n kuwaza kama ilikuwapo njia nyingine kuepusha shari ile.
Sisi wenyewe Waislam tumepata kulizungumza suala lile kwa kirefu sana.
Fikra zinatofautiana.
Lakini usilitazame tatizo la mabucha peke yake.
Angalia na maandamano mengine ya Waislam na jiulize kwa nini wamefikishwa pale nani muhusika katika matatizo haya?
Iulize nafsi yako na jiweke katika hali ya Waislam.
Mathalan tatizo la Baraza la Mitihani (NECTA)na hujuma dhidi ya shule za Kiislam.
Waislam waliandamana na walikuwa na ushahidi wa hali iliyokuwapo ndani ya Baraza la Mitihani chini ya Dr. Ndalichako.
Serikali ilipiga marufuku maandamano yale lakini Waislam walikaidi na wakaandamana.
Sheikh Ponda ndiyo aliongoza maandamano yale.
Serikali ilishindwa kuwashambulia waandamanaji.
Sababu akili za serikali zilirudi zikakaa sawa.
Wataalamu wao waliwaeleza kuwa Waislam wana ushahidi wa dhulma dhidi yao ndani ya NECTA.
Serikali isIpokuwa makini matatizo yatakuwa makubwa.
Nilikuwapo katika maandamano yale nikipiga picha na kurekodi sauti.
Ninazo picha za mabango yaliyokuwapo katika maandamano yale.
Yamebeba kiini cha tatizo tulilonalo Tanzania kama nchi.
Nakujibu kwa kuwa swali ni la kiungwana.Tukienda kwenye ukweli..nahisi mna tatizo la inferiority complex..plus ujinga.
Suala la mitihani hata kwa jicho la kawaida tu..jamii nyingi za waislamu haziwekezi kwenye elimu dunia bali elimu ahela...sasa unaposema wanafanyiwa figisu kwenye mitihani..nadhani hii hoja yako haina mashiko kabisa.
#MaendeleoHayanaChama
Tuachane na hayo yakale..tuje kwenye uhalisia wa sasa..bado jamii nyingi za waislamu hazina mwamko wa kielimu kabisa..bali elimu ahela hivyo kupelekea idadi ndogo sana ya wasomi katika ngazi za juu.Nakujibu kwa kuwa swali ni la kiungwana.
Waislam hatujapata kuwa na complex ya aina yoyote.
Nakueleza hili kwa uhakika kwa kuwa nawajua Waislam nini wamefanya katika historia ya Tanganyika kuanzia kukabiliana na wakoloni hadi uhuru ulipopatikana mwaka wa 1961.
Waislam hawajapata kuwa wajinga kwa namna yoyote.
Waislam ni wa kwanza kujua zile 3Rs yaani Reading, Writing na Arithmetic.
Baada ya uhuru ndiyo jamii pekee iliyotaka mwaka wa 1968 kujenga Chuo Kikuu kupitia East African Muslim Welfare Society (EAMWS) lakini kwa bahati mbaya mradi ukahujumiwa.
Inaandikwa "akhera," si ahela.
Tulichokuwa tunajenga ni Chuo Kikuu si madrasa.
Kwanini shule nyingi za kiislam zinaongoza kushika mkia?Mnyatiaji,
Baada ya yote yale kutokea mimi binafsi nilikaa n kuwaza kama ilikuwapo njia nyingine kuepusha shari ile.
Sisi wenyewe Waislam tumepata kulizungumza suala lile kwa kirefu sana.
Fikra zinatofautiana.
Lakini usilitazame tatizo la mabucha peke yake.
Angalia na maandamano mengine ya Waislam na jiulize kwa nini wamefikishwa pale nani muhusika katika matatizo haya?
Iulize nafsi yako na jiweke katika hali ya Waislam.
Mathalan tatizo la Baraza la Mitihani (NECTA)na hujuma dhidi ya shule za Kiislam.
Waislam waliandamana na walikuwa na ushahidi wa hali iliyokuwapo ndani ya Baraza la Mitihani chini ya Dr. Ndalichako.
Serikali ilipiga marufuku maandamano yale lakini Waislam walikaidi na wakaandamana.
Sheikh Ponda ndiyo aliongoza maandamano yale.
Serikali ilishindwa kuwashambulia waandamanaji.
Sababu akili za serikali zilirudi zikakaa sawa.
Wataalamu wao waliwaeleza kuwa Waislam wana ushahidi wa dhulma dhidi yao ndani ya NECTA.
Serikali isIpokuwa makini matatizo yatakuwa makubwa.
Nilikuwapo katika maandamano yale nikipiga picha na kurekodi sauti.
Ninazo picha za mabango yaliyokuwapo katika maandamano yale.
Yamebeba kiini cha tatizo tulilonalo Tanzania kama nchi.
Kwahili walikosea sana..hapa ndio mana huwa nashindwa kuwaelewa hawa waumini wa dini hii...hupenda sana chokochoko na kulialia wanaonewa.Nyama ipo ndani ya bucha,
Kula hamli nyie,
kuuza hamuuzi nyie,
kuchinja hamchinji nyie,
Nchi sio ya kiislamu,
Wamiliki wanalipa kodi,
Kilichowawasha ni nini hasa?
Mngehukumiwa kunyongwa kabisaView attachment 2310767
Mrs Lissu,Kwanini shule nyingi za kiislam zinaongoza kushika mkia?
Waislam hatupendi chokochoko lete ushahidi.Kwahili walikosea sana..hapa ndio mana huwa nashindwa kuwaelewa hawa waumini wa dini hii...hupenda sana chokochoko na kulialia wanaonewa.
Wanapenda kukuza vitu vidogo sana visivyo hata na maana.
#MaendeleoHayanaChama