Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

Machine...
Bahati mbaya unategemea majibu kutoka kwangu yatakayo kufurahisha.

Ingekuwa wewe mkweli ningekusoma ukiwaomba wachangiaji wawe wastaarabu.

Umekuwa kimya kwa hilo.
Kucontrol ustaarabu humu ndani sio jamno rahisi na utaratibu una utumia siku zote wewe huwa una deal na watu ambao hawakukwazi.

Hilo la kusema niwatulize wadau wengine wakati unajua hata mods hii kazi wameishindwa ni kunionea na kuthibitisha hoja kuwa unakwepa maswali
 
Mashine...
Ukiona simjibu mtu ni kuwa hana ustaarabu.
Nadhani mpaka hapa ushanifahamu vizuri kabisa.

Swali gani niulizwe hapa nilikwepe?
 
Mashine...
Ukiona simjibu mtu ni kuwa hana ustaarabu.
Nadhani mpaka hapa ushanifahamu vizuri kabisa.

Swali gani niulizwe hapa nilikwepe?
Nimecopy kama nilivyo uliza


Kabla sijasoma maoni mzee wangu ningeomba msaada wa hicho kifungu kinacho sema "maeneo haya ni ya waislamu"

Je, ni waislamu tu ndio waliopatiwa maeneo au kumilikishwa?

Je, kama yapo ni utawala wa awamu ipi waligawa haya maeneo?

Je, dini zingine mfano kristo, hindu, dini za asili nao wanao mgao huo kama ndugu zao islamic?

Mwisho kwa mtazamo wako unaona jambo la kugawa hayo maeneo lina tija kwa taifa la sasa hususani kwenye kujenga mshikamano kitaifa?
 
Mzee kutwa anawaza anakula bata Paris, Milan, London na siyo Kandahar, Peshawar na Baghdad🤣🤣🤣
 
Mashine...
Kila jamii ina maeneo yake ya asili.
Dar es Salaam ambako ndiyo kwetu nilikozaliwa naifahamu vyema kabisa.

Nimezaliwa Gerezani mwaka wa 1952.

Sasa anza hapo na tembea kote Kariakoo, Buguruni, Kinondoni, Temeke, Manzese, Ilala huna haja ya kuuliza hayo maeneo wenyewe ni nani?

Haya yote ni maeneo ya asili Mtaa wa Kipata nilipozaliwa mimi hadi leo kuna nyumba zina miaka 100.

Kote huko nilikotaja hapo juu hali ni hii.
Jibu hili naamini linajibu maswali yako mengine ya Wahindi nk.

Dar es Salaam Wakristo walitengewa Mission Quarter na ndiyo sehemu Dar es Salaam kulikuwa na kanisa Mtaa wa Masasi.
 
"Mashine...
Kila jamii ina maeneo yake ya asili.
Dar es Salaam ambako ndiyo kwetu nilikozaliwa naifahamu vyema kabisa."

Ni kweli kila jamii ina maeneo yake ya asili lakini je dar es salaam ni asili ya (wazaramo au makabila mengine) au asili ya islamic?

Pili, uwepo wa jamii husika na mila zilizopo kunazuia nini watu wengine kufanya mambo yao?

Tatu je, kama hilo eneo ni la islamic kama unavyo zungumza hao wateja wa hiyo bidhaa iliyo haramishwa na waislamu wanatoka wapi?

Nne, sote tunajua kama tuko chini ya katiba na hakuna mila au tamaduni yoyot ile inayo takiwa kuwa juu ya katiba, hivyo naomba unisaidie hiyo sheria inayo simama na hiyo kauli yako ya kutengewa maeneo.


"Dar es Salaam Wakristo walitengewa Mission Quarter na ndiyo sehemu Dar es Salaam kulikuwa na kanisa Mtaa wa Masasi."

Hili zoezi la kugawa haya maeneo kuwa hii ni halali ya wakristo hii ya waislamu lilifanywa na nani? Naomba maelezo sana hapa

Je dini zingine kama hindu, dini za asili maeneo yao yako wapi walio gawiwa?
 
Arafat alifia paris
 
Nimeona uhusiano wa uislam na kukosa ustaarabu,hayo maeneo yana kiwango kidogo cha usalama ,usafi niite tu ni uswahilini
 
Hui...
Ikhtilafu ni silka yetu binadamu.
Muslim Brotherhood ''Ikhwan,'' hawatakiwi na nani Misri?

View attachment 2306524
Azhar Shariff, Misri 1991

Mohamed Said, soma hapa;​

Egypt’s Muslim Brotherhood: What’s happened to the Islamist group after being banned?​

By Abir Sorour
Posted on Friday, 26 November 2021 17:41


After Egypt’s revolution in 2011, the first elections installed Mohamed Morsi - a member of the Muslim Brotherhood (MB), who won the elections through his Freedom and Justice party - as president. The coup that ended his tenure on 14 August 2013 was followed by a deadly uprising of MB supporters known as the Rabaa Massacre. The uprising killed hundreds. Nine years later, some members and affiliates who survived the massacre believe the Muslim Brotherhood is no longer relevant. Is this true?
It is 15 August 2013, a day after the deadly dispersal of the Rabaa Adwayia Islamist sit-in in Cairo, and the military have sacked Morsi. Two Islamist men in their 30s, Abdallah and his friend Galal, among dozens of others, had taken the fight to the streets against thousands of police and military forces. Right outside Cairo’s historic train station, near al-Fatah mosque, both took cover from the live rounds fired at different groups of protesters and some masked militants armed with shotguns.
The two, believing in the cause of ‘revolting to save Islam and restore the presidency of former President Mohamed Morsi’, repeated the Shehada – a statement of faith in Islam – knowing the end might be near, Abdallah tells The Africa Report.

The Brotherhood as a social power​

From the 1970s, the Brotherhood was given room to influence public life. As part of a deal with Anwar al-Sadat’s administration, syndicates, universities, mosques, ministries, schools and businesses were taken over by the Brotherhood, to give them the means to counter the leftist/Marxist control of public space.
In the years before Mubarak, the political and the social sphere were unseparated… the Brotherhood worked on a bottom-up structure, by gaining the respect and trust of the masses throughout the years…
In addition, they were able to establish charity organisations, hospitals, and educational centres, offering themselves as an alternative amid the state’s withdrawal from its public welfare, such as schooling, social solidarity, and hospitalisation. Mosques affiliated with the group organised back-to-school packages to impoverished families, while Islamic hospitals provided cheap treatment and medicine to citizens who could not afford private hospitals or had to pay bribes to enter government hospitals.
Such circles granted the Brotherhood a diverse and loyal political capital of thousands who may not have agreed with the group’s political opinions. However, the brothers depicted themselves as men of honour, men of God, or men who did good deeds.

Indeed in 2011, the Brotherhood gained what it had been sowing since the 1970s. In a matter of three months, the group had become the most organised, prepared, and unified political group boosted by the support of millions across the country who had come to depend on their philanthropic activities.

Crash and burn​

After Morsi was ousted in 2013, and Abdel Fattah al-Sisi assumed power, the MB was once again banned and deemed a terrorist group.
 
Wavaa rozari acheni kumshambulia mzee wetu ,,,mmekimbia wenyewe mashakamashaka yenu huko makanisani ,,,Sisi hatuwezi kula vya kunyonga na vibudu....Punguzeni makasiriko ....
 
Inaanza kidogo kidogo kisha inaenea kokote mwisho watu wanapoteza kazi.

Wewe huli kwa nini kumsumbua anayekula?
Tatizo wanatamani umaarufu ile kukimbizana na polisi wake ndani kidogo wle maharage basi wanajiona mashujaa kweli kweli km Nyerere!! hao dawa yao kuwatwanga risasi tu uone km watajitojeza naujinga ujinga huo!
 
Huyu mbona kijana sana? Ungemuajiri wewe Mzee Muddy baada ya kufukuzwa kazi awe anafuta mavumbi kabrasha zako huku mkiswali swala tano pamoja kila siku ili mradi familia yake ile angalau mlo mmoja kwa siku. Au alikuwa anakula hewa msikitini baada ya kuachishwa kazi? Amefariki ndiyo unakuja na huruma zako.
 
Mkama alikuwa akipokea maelekezo kutoka viongozi wake wa juu wa Ikulu, na wakati huo Rais alikuwa Alhaji Ali Hassan Mwinyi, lakini cha ajabu Mzee Muddy yeye kaelekeza mashambulizi kwa Watendaji Wakristo kwa kuwataja majina, halafu hapo hapo anajitapa anamwaga "facts"?
 
Umeuliza swali kistaarabu nitakupa jibu.

Katika ''paper'' niliyoandika na kuwasilisha Kenyatta University, Nairobi mwaka wa 2006 ukiisoma utakuta lawama zangu kwa Rais Mwinyi.

Bahati mbaya nimeandika Kiingereza:

''President Mwinyi who was in Zanzibar on official engagement unwisely and driven by the fear that the country was moving towards the dreaded clash between Muslims and Christians, issued a hurried condemnation of the attack and ordered that all those responsible for the attack should be made to feel the full weight of state power.

By that statement a simple case of few frustrated young Muslims hotheads driven to action by insensitivity of the government to genuine grievances, was blown out of proportion into a national crisis.

The government and party media including the state radio warned of the dangers of ‘Muslim fundamentalists in Tanzania.’

The Christian lobby saw in Mwinyi's statement a blank cheque to crash all Muslims it considered dangerous to their interests.''

 
Mzee wetu ungeandika bila kuleta udini wako tungekuheshimu mno. Wewe mwenyewe ndo unalazimisha tukudharau. Kiukweli heshima yako hapa JF imeshuka mno. Halafu huwa najiuliza kwanini ukizidiwa hoja unaanza kuleta historia za nyumbani kwenu? Kwa mfano mtu aliuliza kwamba je Manzese ni eneo teule la kiislamu wewe ukajibu kuna ndugu zako walishaishi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…