Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Mkuu wewe inabidi uje uanzishe special thread ya harakati zako za mjini huwa nakuelewa sana
 
Tatizo jamaa wanakuwaga na TAG Ubavu, unamzabua mmoja crew yao inawasaka kimya kimya kila mmoja anakula kichapo kama sio kuumizwa vibaya af ukute huyo kambale alikuwa mtu wa Dojo kwa sana kama vijana wa keko ujue utaumia tu.
Wanaume wa dar bure kabisa. Yaani kibaka anaeiba bodaboda na kukaba watu mnamuita jambazi.
Na mlikuwa mnamjua kabisa, mmesubiri mpaka mambosasa atie maguu ndie mje kushukuru hapa jf!
Hebu anzeni kupiga pushups mazee.
 
Yaani hii kitu ni km mchezo wa kubet tu kila ukisema hii leo ya mwisho kesho tena umo
wenzake wasikiapo ule wimbo wa PARAPANDAAaa wanajisemea wataachaaaa....baada ya wiki wanarejea mzigoni
 
Hongera Kaka, inaonekana hata mtaani kwako u maarufu pia
 
Uyu
Mshahara wa dhambi ni mauti.
JEHANUM HAIKO FR KWELI
UKISOMA MAANDIKO WE MZINZI MFIRAJI.MLEVI WOTE MNAKUTANA NA KAMBALE SIKUYA MWISHO DAH SIJUI HUKO NAKO ATAWANYONGA AMA KAH MJIANDAE TU
 
Dah rip ngonji
 
mpwa HUKU kwetu ALIKUWA JAMAA MMOJA ANAITWA DULLAH ..HUYO AKIFANYA TUKIO LEO ANARUDI KILA BAADAYA SIKUSABA

SIKU MOJA NARUDI USIKU.MNENE NKAONA WATU WAKO KITUON NKAJUA WANASUBIRI BASI WEE...KUSOGEA MBELE NASIKIA SAUTI KAMA PANGA LINANOLEWA MPWAA NILIKIMBIA KURUKA KATIKATI KAMA MNAKUMBUKA NJIA YA UBUNGO KMR KUNA MITARO.MIKUBWA WALIJENGA MARA PAH NKAONA WATOTO WAMBWA WENGINE WANATOKEA MTARONI NIKAPIGA KELELE KYMBE DULA KANIONA BANA AKAITAOYAAA MWACHENI BR....HUYOOO..NKASIMAMA AKAITA TENA BR MM...DOH ROHO IKATULIA...AKAJA MWENYEWE BR UWE NA AMANI USIHOFU HAMNA MACHENJI ALINISINDIKIZA MPAKA MLANGONI NKAMPA 800

JAMAA AKAKOSEA AKAENDA KUIBA UDOM MARA YA KWANZA AKAFANIKIWA NA WENZIE

MARAYAPILI HII IKAWA.MIMBA WENZIE WAKAKIMBIA AKABAKI WEEE PIGÀ PIGA WAKAJUA AMEKUFA DULLAH
GAFLA AKANZA KUAMKA WATU WASHAONDOKA NASIKIA.MMOJA AKASEMA.TUMSACHI WAKAKUTA HIRIZI KINUNONI INAPUMUA WALIPOKATA TU PAH. DULA AKAKOSA NGUVU WALIMKATA VIPANDE VIPANDE MAITI IKAZIKWA HUKOHUKO

RRIP DULLAH
AT LIST WEZI WA NYUMBAN WALIKUWA NA UPENDO KIDOGO
 
Tatizo jamaa wanakuwaga na TAG Ubavu, unamzabua mmoja crew yao inawasaka kimya kimya kila mmoja anakula kichapo kama sio kuumizwa vibaya af ukute huyo kambale alikuwa mtu wa Dojo kwa sana kama vijana wa keko ujue utaumia tu.
Ila wMKUU WAKEKO KAMA SIO NA WANANCHI KUWACHOKA WANGEENDELEA NA SHIDA HIZIHIZI
 
Alimpapasa jamaa yangu huyu mwamba..
Mshkaji anafika geto miguu haitulii ni km bd anakimbiaaa....
Ngoja nimwambiee km ni kweli ataruka maana alikua anamlaani kila siku
sio kwa mbio zilee....
alimgeuza jamaa yangu mandera road.....
Hope akumnaniiiinooo NASIKIA ndioosifayake kama umenona
 
Alikuwa shemeji yako,mbona umeandika kimajonzi sana
 
USHAWAHI KWENDA MSIBAN UNAKUTA WATU WANALIA SANAA KUMBE WANALILIA MAREHEMU ZAO WALIOUWAWA NA KAMBALE ACHENI TU

NA NWENGINE WANAKWENDA KUHAKIKISHA N KWELI ANAFUKIWA AMA LAH
 
Duu nimeona fb
Q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…