Huyu kambale amenikumbusha Jambazi moja sugu alikuwa anaitwa Ramadan ngonji!
Enzi za kova rpc alimpigaga wanted,
Ngoji alihukumiwa Miaka 8 jela ila alikaaga Ndani miezi 2 akatoka kimipango hku hukumu yke inaendelea..... Cha ajabu aliendelea kufanya uhalifu na wazee walikuwa Wanamtafuta
Ila Mimi nlikuwa na zali ya kukutana naye usiku mnene maana mm siku zote ni mtu wa nightmare
Ngonji alikuwa anatumiaga pikipiki kubwa 250
Kna siku nlikuwa narudi nko mtungi nakutana naye kwenye open space jirani na de mug hotel Kino...... Kalala juu ya pikipiki huku iko on inanguruma......akaniita Jina langu la mtaa(----) kuchek ngonji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ndy mwanzilishi wa uwizi wa kutumia pikipiki..... Sema siku yke ilifika wazee walimuaa
Maana walimchokaga
Ova