Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

May his soul Roast In Eternal Fire/Hell.

Mliowahi kukabwa semeni "Amen!"
 
May his soul Roast In Eternal Fire/Hell.

Mliowahi kukabwa semeni "Amen!"
Kunywaa eneeegiiiiii najalipa
Nimeipendaa sanaa najuaa wahangaa wanahaha KUJUA maziko wapiii NAOMBA niiwape namba ya kutuma Rambi rambi tafadhalii HILO ndiloo.muhimu zaidii
 

Kumuua au Kuuwawa kwa huyo pekee hakutoshi Mkuu kwani ilitakiwa hata Mapolisi wa hapo Kituoni nao ikiwezekana Wauwawe nae kwani hakuna asiyejua kuwa kwa Jeuri za huyu Jambazi ni lazima tu katika hizo harakati zake Ovu alikuwa anashirikiana na baadhi ya Askari Polisi wasio na Maadili ama kwa kiasi fulani au moja kwa moja. Na ninavyojua ukiona hadi Jambazi Sugu kama huyo anauwawa jua kuna Mtu hakupewa Mgawo wake ndiyo akamchomesha au waliomuua walishaona na kuhisi kuwa Siku zake zinahesabika hivyo kama akija Kukamatwa basi akihojiwa Kijeshi atawataja wote hivyo wameamua Kumtanguliza Peponi ili Kujilinda na Kupoteza Ushahidi.
 
Jamaa alikuwa Kiongozi wa Greenguard ya UVSSM kitaa kwao
 
Kama anaye-deal na bodaboda anaitwa jambazi, na wale ambao kuna siku walituvamia benki wakiwa na AK47 pamoja na mabomu ya kurusha kwa mkono tuwaitaje?!

Huyo ni mwizi tu anayetumia silaha dhidi ya raia wasio na silaha... pumbavu zake!
Mind you, mtoa hoja amesema kuwa jamaa alishaua watu kadhaa katika huo "wizi" wake. Sina uhakika sana wa utenganishi kati ya mwizi na jambazi unaanzia wapi.... Ila mtu ambae anafanya matukio ya uuaji wakati anatimiza lengo lake la wizi, mimi ningemuita JAMBAZI. Chige
 
Hahahahahahah, alikula mfuweni wa maana.
Alikuwa anagombana na vijana wenzake.

Niliwahi shuhudia ugomvi mmoja siku moja na kijana mwenzake mdogo kidogo kuliko yeye, kabla ya ugomvi wapambe wakamnyang'anya kila kitu apigane kavu kavu aisee alipigwa sana.
 
AMETOKA MAPEMA SANA ALITAKIWA KUENDELEA KUNYOOSHA NCHI
 
Watu kama hawa wanapokufa ama kuuliwa ingetakiwa mtaa uandae sherehe kubwa.
 
sasa huko ndo atakutana na watu walio shindikana
 
sasa huko ndo atakutana na watu walio shindikana
Shida moja chizpo kama maandiko yasemavyoo BA UKO KWENYE HILI KUNDI JIANDAE KUKUTANA NAE HUKO DK KAMBALE


WEZI
WAZINZI
WALEVI
MAFISADI
WAFIRAJI
WAABUDUO SANAMU
WARAWITI
NA MENGINE YAFANANAYOO NAHAYA ZIWA LAOO N JEHANUM YA MOTO

KAMA MUPO HUMO JIANDAE KUFUNGULIWA MLANGO NA DK KAMBALE HUKO JEHANUM
 
NUMESAHAUU NA MABAHAASHAA WAMOHUMOO
 
twaokolewa kwa neema
 
Ngonji namfahamu
Kaka ake nae alifariki kitambo alikuwa anaitwa Ally nadhani walichangia mama
 
Ngonji namfahamu
Kaka ake nae alifariki kitambo alikuwa anaitwa Ally nadhani walichangia mama
Kaka yke alikuwa anaitwa hamis mabig g
Yeye mwenyewe alikuwaga jmbaz pia

Ova
 
CONTROLA,
Kusema ukweli watu wa namna hiyo wakiwa kwenye jamii wanakuwa caring sana ili kuficha mambo yao,na hayo uliyoandika inawezekana kuna watu wanalia na kunung'unika
Jamaa alikuwa hakamatwi na polisi kirahisi kwa sababu alikuwa haendani na anayoyafanya.
Nina picha zake nikiweza nitaziweka.
Jamaa tena ni dogo tu.
Alimkimbiza baba yake na panga. Baba yake ikabidi ahame nyumba amuachie kambale .
Mwezi uliopita tu walitoka kumzika kaka yake kambale naye alikuwa jambazi
 
Mrangi: wanasema nionyeshe rafiki zako, nizijue tabia zako. Nasema tu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…