Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywaa eneeegiiiiii najalipaMay his soul Roast In Eternal Fire/Hell.
Mliowahi kukabwa semeni "Amen!"
Duh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na kikosi kazi chako. Nahisi wote waliokuwa naye sasa wataacha
Lala Kambale pumzika dunia ilishakuchoka.
Jamaa alikuwa Kiongozi wa Greenguard ya UVSSM kitaa kwaoDuh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na kikosi kazi chako. Nahisi wote waliokuwa naye sasa wataacha
Lala Kambale pumzika dunia ilishakuchoka.
Mind you, mtoa hoja amesema kuwa jamaa alishaua watu kadhaa katika huo "wizi" wake. Sina uhakika sana wa utenganishi kati ya mwizi na jambazi unaanzia wapi.... Ila mtu ambae anafanya matukio ya uuaji wakati anatimiza lengo lake la wizi, mimi ningemuita JAMBAZI. ChigeKama anaye-deal na bodaboda anaitwa jambazi, na wale ambao kuna siku walituvamia benki wakiwa na AK47 pamoja na mabomu ya kurusha kwa mkono tuwaitaje?!
Huyo ni mwizi tu anayetumia silaha dhidi ya raia wasio na silaha... pumbavu zake!
Alikuwa anagombana na vijana wenzake.
Niliwahi shuhudia ugomvi mmoja siku moja na kijana mwenzake mdogo kidogo kuliko yeye, kabla ya ugomvi wapambe wakamnyang'anya kila kitu apigane kavu kavu aisee alipigwa sana.
sasa huko ndo atakutana na watu walio shindikanaDuh siamini ila sasa nimejua kila.mjanja ana mjanja wake. Huyu jambazi katesa sana watu kaua sana madereva wa bodaboda za Mombasa.
Alikuwa akikamatwa anafikishwa polisi mnajua anaishia huko wiki inayofwata anatoka na kufanya mara mbili ya aliyofanya huko nyuma.
Pongezi kubwa Mh. Mambosasa na kikosi kazi chako. Nahisi wote waliokuwa naye sasa wataacha
Lala Kambale pumzika dunia ilishakuchoka.
Shida moja chizpo kama maandiko yasemavyoo BA UKO KWENYE HILI KUNDI JIANDAE KUKUTANA NAE HUKO DK KAMBALEsasa huko ndo atakutana na watu walio shindikana
twaokolewa kwa neemaShida moja chizpo kama maandiko yasemavyoo BA UKO KWENYE HILI KUNDI JIANDAE KUKUTANA NAE HUKO DK KAMBALE
WEZI
WAZINZI
WALEVI
MAFISADI
WAFIRAJI
WAABUDUO SANAMU
WARAWITI
NA MENGINE YAFANANAYOO NAHAYA ZIWA LAOO N JEHANUM YA MOTO
KAMA MUPO HUMO JIANDAE KUFUNGULIWA MLANGO NA DK KAMBALE HUKO JEHANUM
Ngonji namfahamuHuyu kambale amenikumbusha Jambazi moja sugu alikuwa anaitwa Ramadan ngonji!
Enzi za kova rpc alimpigaga wanted,
Ngoji alihukumiwa Miaka 8 jela ila alikaaga Ndani miezi 2 akatoka kimipango hku hukumu yke inaendelea..... Cha ajabu aliendelea kufanya uhalifu na wazee walikuwa Wanamtafuta
Ila Mimi nlikuwa na zali ya kukutana naye usiku mnene maana mm siku zote ni mtu wa nightmare
Ngonji alikuwa anatumiaga pikipiki kubwa 250
Kna siku nlikuwa narudi nko mtungi nakutana naye kwenye open space jirani na de mug hotel Kino...... Kalala juu ya pikipiki huku iko on inanguruma......akaniita Jina langu la mtaa(----) kuchek ngonji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ndy mwanzilishi wa uwizi wa kutumia pikipiki..... Sema siku yke ilifika wazee walimuaa
Maana walimchokaga
Ova
Kaka yke alikuwa anaitwa hamis mabig gNgonji namfahamu
Kaka ake nae alifariki kitambo alikuwa anaitwa Ally nadhani walichangia mama
Jamaa alikuwa hakamatwi na polisi kirahisi kwa sababu alikuwa haendani na anayoyafanya.CONTROLA,
Kusema ukweli watu wa namna hiyo wakiwa kwenye jamii wanakuwa caring sana ili kuficha mambo yao,na hayo uliyoandika inawezekana kuna watu wanalia na kunung'unika
Kwani ni mombasa mbele ya moshi bar hukogomz ni mitaa yangu ila sijawahi kumsikia,kauawa na polisi au
Mrangi: wanasema nionyeshe rafiki zako, nizijue tabia zako. Nasema tu lakini.Huyu kambale amenikumbusha Jambazi moja sugu alikuwa anaitwa Ramadan ngonji!