fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Ww hauogopi kufa?Anasifiwa ti kwasababu anazikwa na Watanzania waoga kufa
Hapakuwa na saloon za kunyoa nywele miaka ile, tulikuwa na kinyozi wetu pale kwenye mti wa mwembe kabla hujavuka barabara na kuingia ferry kupanda pantoni siku hizi wanapaki bodaboda ukiwa unapandisha kuelekea jengo la wizara ya ardhi, anakunyoa na kiwembe tu lakini utadhani katumia machine za kisasa.Ni kipindi cha nguo kupigwa viraka,Enzi hizo watu wanavaa nguo imepigwa viraka vya rangi tofauti tofauti
Watu walivaa nguo zilizotoboka ,Ilikuwa hakuna kumshangaa mtu
Wanafunzi wanaenda shule peku peku bila viatu na unawakuta wanakimbia mchaka mchaka kwa uzalendo
Enzi hizo sherehe za Chrismass na Idi zilikuwa sherehe kweli
Watu kabla ya miezi miwili christmass au idd mnaanza kutafuta mchele na kuuhifadhi ndani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe,Unaweza enda siku ya sherehe sokoni ukakosa vinywaji na vyakula
Maisha yalikuwa yanatisha sanaHapakuwa na saloon za kunyoa nywele miaka ile, tulikuwa na kinyozi wetu pale kwenye mti wa mwembe kabla hujavuka barabara na kuingia ferry kupanda pantoni siku hizi wanapaki bodaboda ukiwa unapandisha kuelekea jengo la wizara ya ardhi, anakunyoa na kiwembe tu lakini utadhani katumia machine za kisasa.
Duka la keki lilikuwa moja tu gloria bakery pale karibu na mnara wa askari ukiwa unaelekea Saint Joseph, wazee walinunua keki siku moja kabla ya krismasi.
Kulikuwa na nguo za kupika, kulikuwa na zile raba asante Salim.Maisha yalikuwa yanatisha sana
Leo viatu vya plastic vimejaa kariakoo hata kama vinaisha mapema lakini vimesaidia watu wengi
Leo kariakoo zimejaa nguo feki za kusukuma siku hata kama zinachakaa mapema zinasaidia
Nchi imetoka mbali sana ,Mnaenda kutafuta mafuta ya taa ,Leo mafuta ya taa yatakuwa yamebaki vijiji vichache sana
Usiku ni mwendo wa tochi tu ukiwa unatembea barabarani,Maana nyumba nyingi hakuna umeme
Radio ni moja tu ya kusikiliza,Taarifa ya habari wazee wanakuwa makini kusikiliza na wako punctual sana na muda
Jamaa mpuuzi, anaamin kwenye thamani ya sh ila sio ubora wa maisha, naonaga bongo watu wengi wana huu upuuziHuna akili kwa hiyo ww kwako ufahari wako ni kuwa na noti ya sh 100 na 50 na sio ubora wa maisha ya watu?
Yaani Nyerere aliye wafanya watu wavae uchi ,wakose mpaka mahitaji muhimu kama sabuni,haka kumiliki redio ilikuwa ni anasa ndo bora ,kuliko mwinyi aliye kuja kufuta huo upuuzi?
Sasa kati ya ww unaye amini ya kuwa nchi ikiwa na noti yenye 0 chache ndo maendeleo na Mwinyi ni nani kilaza?
Pesa ya Kuwait na Oman ina thamani zaidi ya mara 3 ya $ya kimarekani ,sasa hivi ukiwekewa $ na pesa ya hizo nchi utachagua kipi?
Pesa ya Kenya ina thamani kuliko pesa ya Korea na Japan ,haya tuambie maendeleo ya Kenya na hizo nchi yakoje?
Pesa ya Tz ina thamani zaidi ya mara 4 ya pesa ya Iran vipi kuhusu maendeleo kati ya nchi hizo mbili?
Zambia hapo si wana noti ya 100 wana nn cha maana zaidi ya njaa?
Tofautisha kupwaya na demokrasia Mmasai wa CDm. Aliwaacha waongeze, na Nyerere alitaka amuendeshe vyote alivimaliza kwa style Ile Ile ya Jakaya. Nyerere alipigwa pini na azimio lake likafa na wale wehu wakina Njelu Kasaka wakapotezwa katika siasa.Kuna kipindi alipwaya mpaka Nyerere aliamua kumsaidia.
Alishindwa kabisa kucontrol bunge , serikali ilikua inaanguka.
Anyways nitamkumbuka kwa kuuza Loliondo kwa waarabu.
Familia yake ina bahati sana ya Uongozi ila ni vilaza.
Mmojawapo ni huyu Stroke ..toto la miaka ya 2000 linachojua ni ChaDema,Mbowe na kunakili ujinga na matusi ya Lema au mdude Mdude_Nyagali mtandaoni.Kwa shida nilizozipata wakati wa Nyerere hata ukiuza dawa ya mbu unaitwa mlanguzi!!!
Leo mtu anambie Nyerere alikuwa mzuri huwa nashangaa sana na ndio maana wakati mwengine nashindwa kuchangia chochote kwa kujua wengi wanaobisha ni watoto wa juzi madhila tuliopitia hawayajui
Hivyo ndivyo namna ulivyoona umkumbuke Mzee? Wewe ni NARCISSISTIC PERSON fanya mpango umuone Therapist.Kuna kipindi alipwaya mpaka Nyerere aliamua kumsaidia.
Alishindwa kabisa kucontrol bunge , serikali ilikua inaanguka.
Anyways nitamkumbuka kwa kuuza Loliondo kwa waarabu.
Familia yake ina bahati sana ya Uongozi ila ni vilaza.
Kwenye nchi ya watu waliostaarabika siyo sifa nzuri kwa rais wa nchi kuingilia shughuli za bunge.Kuna kipindi alipwaya mpaka Nyerere aliamua kumsaidia.
Alishindwa kabisa kucontrol bunge , serikali ilikua inaanguka.
Anyways nitamkumbuka kwa kuuza Loliondo kwa waarabu.
Familia yake ina bahati sana ya Uongozi ila ni vilaza.
Mungu Apishie mbali, nasie wazenji bado twamhitaji yakheeeNaunga mkono joja zote 2025 pia naunga mkono sana nimeongea sana juu hili...muda tu utaamua saa 100 ampishe copy apige yetu 10 saafii...tugange yajayo
Vp kuhusu viatu vya bata? Au vilikujq baadae?Kulikuwa na nguo za kupika, kulikuwa na zile raba asante Salim.
Ukivaa raba za Kenya shuleni unaonekana wa maana mbele ya marafiki zako.
Leo hii umeme unakaribia kuifikia Tanzania nzima, maendeleo makubwa sana.
Nikikumbuka dhiki ya 1980 -1985, baada ya Vita vya Kagera na mazungumzo na IMF kuvunjika, ilikuwa si ya kitoto.Ni kipindi cha nguo kupigwa viraka,Enzi hizo watu wanavaa nguo imepigwa viraka vya rangi tofauti tofauti
Watu walivaa nguo zilizotoboka ,Ilikuwa hakuna kumshangaa mtu
Wanafunzi wanaenda shule peku peku bila viatu na unawakuta wanakimbia mchaka mchaka kwa uzalendo
Enzi hizo sherehe za Chrismass na Idi zilikuwa sherehe kweli
Watu kabla ya miezi miwili christmass au idd mnaanza kutafuta mchele na kuuhifadhi ndani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe,Unaweza enda siku ya sherehe sokoni ukakosa vinywaji na vyakula
Mimi huwa kuna mambo wanamsifia mzee Ruksa lakini mimi huwa naona ni kama kujikomba au kutofikiria kwa kina.Kuna kipindi alipwaya mpaka Nyerere aliamua kumsaidia.
Alishindwa kabisa kucontrol bunge , serikali ilikua inaanguka.
Anyways nitamkumbuka kwa kuuza Loliondo kwa waarabu.
Familia yake ina bahati sana ya Uongozi ila ni vilaza.
Nyerere hakuwahi shindwa.Nadhani unafikiri ki rivasi rivasi mambo yaliharibika sana sana chini ya Nyerere Nchi ilikuwa UCHI hakuna kipindi kilikuwa na DHIKI kuliko kipindi cha Nyerere.
Majeshi yetu yenyewe yalikuwa yanavaa Viraka.
Mbona Biafra ilimtoa Kamasi, Nyerere alifeli pakubwa kwenye Siasa za Ndani ya Nchi yetu alichofanikiwa ni Siasa za Nje.Nyerere hakuwahi shindwa.
Kwa kupitia huu Uzi ndiyo napata picha halisi kwa nini Bw. Malcolm aliandika uzi kuwa kwa nini Nyerere aliwapitisha watanzania hii njia (dhiki za awamu ya Nyerere kwa watanzania).Nikikumbuka dhiki ya 1980 -1985, baada ya Vita vya Kagera na mazungumzo na IMF kuvunjika, ilikuwa si ya kitoto.
Tulikosa vitu basic kama sabuni na dawa ya kupigia mswaki, chakula kununua kwa kidaftari duka la kaya, kwa kulikimbiza gari la ugawaji, ukitaka kununua sukari, unalazimishwa kununua unga wa muhogo. Nguo midabwada.
Mwinyi alikuja kuimaliza.
Nairobi palionekana kama Ulaya, mtu akitoka Nairobi anarudi na sabuni, dawa za kupigia mswaki na bidhaa nyingine za basic needs.Kwa kupitia huu Uzi ndiyo napata picha halisi kwa nini Bw. Malcolm aliandika uzi kuwa kwa nini Nyerere aliwapitisha watanzania hii njia (dhiki za awamu ya Nyerere kwa watanzania).