yaani walimdisco mtoto wa mwalimu na mwalimu akiwa hai!? kweli enzi hizo watu walikua wamepinda.. R.I.P ROSE
Ni kweli kabisa Rosemary Nyerere baada ya discontinuation ya medicine pale Muhimbili baade alikwenda kusoma IDM Mzumbe na ali - graduate May 1989 with Advance Diploma in Professional Accountancy (ADPA) with honor akiwa "Ameua" - amepiga A's course zote. July 1989 Alipangiwa kazi kama Assistant Lecturer pale IFM (now a days IFM University) na kuanza kufundisha course za Accountancy mwaka wa kwanza na na wa pili.Baadaye inasemekana alienda kusoma IDM Mzumbe na kule alimaliza wakati huo ilikuwa ni Diploma.
Comment ya design hii nilijua tuu itakuja 😀😀Pole kwa kumpoteza rafiki
Ila pia nikupe heshma yako Doctor maana 1982 sio mchezo
Karma hutajali tupe uzi wa uwaziri chumbanj mpk akatumbuliwa.Sio tu akiwa hai bali akiwa Rais wa nchi
Kuna Mkuu wa Shule alimpiga barua ya kumwita Mzazi mtoto wa Nyerere…alipofuatwa kuulizwa akajibu nimemuita Julius Nyerere Mzazi wa Mwanafunzi sio Rais
Huyo ni Mama Siwale alikuja kupata Uwaziri wa Elimu
Baadae nae akaja kutumbuliwa kwa kosa la kupeleka Uwaziri chumbani akiwa na Mumewe
The rest is history
Nimeshangaa umesema mcheshi
Wakati alipokuwa mbunge hakuwahi kuongea chochote Hadi anamaliza ubunge.
Una maana kwakuwa hukumsikia akiongea bungeni kwahiyo hakuwa mcheshi? Ulitaka awe kama yule mbunge comedian toka Kilombero?
Nasikia siku hizi mwalimu wa chuo akitoa matokeo ya ufaulu mdogo anaundiwa tume! Na hapo ameudhuria vipindi vyote, katoa mazoezi darasani inavyotakiwa na mitihani imepitiwa na kamati husika kabla ya kupewa wanafunzi!!! Halafu, mnasema tunataka kupeleka mtu kwenye sayari kabla ya 2040!yaani walimdisco mtoto wa mwalimu na mwalimu akiwa hai!? kweli enzi hizo watu walikua wamepinda.. R.I.P ROSE
Heri ya mwaka mpya kwako Bradha💣💥Comment ya design hii nilijua tuu itakuja 😀😀
Ni kwetu sote.Heri ya mwaka mpya kwako Bradha💣💥
Hata wewe ungeweza kuwa dr mama dPole kwa kumpoteza rafiki
Ila pia nikupe heshma yako Doctor maana 1982 sio mchezo
..kuongezea tu, mwaka 1982 pamoja na Muhimbili kuwa ni Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, yaani Chancellor, alikuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Fikiria enzi hizi ni nani mwenye uwezo wa kumpa SUP Jesca?Nadhani ingekuwa tawala zilizofuata huenda Amri ingetoka juu kuzuia asi-disco! Nyerere alikuwa mjamaa kweli kweli.
Nikimkumbuka Marehemu Rosemery K. Nyerere nakumbuka na chai tuliyokuwa tunakunywa ya mziwa ya kopo IDEAL MILK, ilikuwa ni chai tamu sana Marehemu Rosemery alikuwa anaifurahiya sana.